PICHA: RAIS KIKWETE ALIPOANDAA FUTARI KWA VIONGOZI WA DINI YA KIISLAMU IKULU, DAR ES SALAAM

  Kadhi Mkuu wa Tanzania Sheikh Abdullah Yusuf bin Ali bin Yusuf ash-Shirazi Mnyasi (mwenye kipaaza sauti) akiongoza dua katika futa...

 Kadhi Mkuu wa Tanzania Sheikh Abdullah Yusuf bin Ali bin Yusuf ash-Shirazi Mnyasi (mwenye kipaaza sauti) akiongoza dua katika futari aliyoandaa Rais Jakaya Mrisho Kikwete kwa viongozi wa madhehebu mbalimbali wa dini ya Kiislamu Ikulu jijini Dar es salaam jioni ya Julai 16, 2014
Sehemu ya waliohudhuria katika futari aliyoandaa Rais Jakaya Mrisho Kikwete kwa viongozi wa madhehebu mbalimbali wa dini ya Kiislamu Ikulu jijini Dar es salaam jioni ya Julai 16, 2014

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwashukuru viongozi wa madhehebu mbalimbali wa dini ya Kiislamu kwa kuhudhuria katika furari aliyowaandalia kulu jijini Dar es salaam jioni ya Julai 16, 2014
 Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Sheikh Alhadi Mussa Salum (aliyesimama kushoto), akitoa neno la Shukurani baada ya futari aliyoandaa Rais Jakaya Mrisho Kikwete kwa viongozi wa madhehebu mbalimbali wa dini ya Kiislamu Ikulu jijini Dar es salaam jioni ya Julai 16, 2014

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiungana na viongozi wa madhehebu mbalimbali wa dini ya Kiislamu katika furari aliyowaandalia kulu jijini Dar es salaam jioni ya Julai 16, 2014

PICHA NA IKULU

Related

ISRAEL, HAMAS KUSITISHA MAPIGANO SAA 72

Marekani na Umoja wa mataifa wamesema Israel na Hamas wamekubaliana kusitisha mapigano kwa saa 72 katika Gaza kuanzia alfajiri leo Ijumaa. Taarifa ya wizara Ya afya ya Gaza,tangu kuanza kwa map...

MWANAMKE AUAWA SOMALIA KWA KUTOVAA HIJAB

Watu wenye silaha nchini Somalia wamempiga risasi na kumuua mwanamke mmoja Muislam kwa kukataa kuvaa hijab, wamesema ndugu zake. Ruqiya Farah Yarow aliuawa nje ya nyumba yake karibu na mji wa ...

PICHA: BASI LA HOOD LAPATA AJALI LIKITOKEA MBEYA

Basi la Hood limepata ajali asubuhi ya leo likitoka mkoani Mbeya haijafahamika mara moja lilikuwa linaelekea wapi na haijafahamika kama kuna watu waliojeruhiwa,    &nb...

Post a Comment

emo-but-icon
:noprob:
:smile:
:shy:
:trope:
:sneered:
:happy:
:escort:
:rapt:
:love:
:heart:
:angry:
:hate:
:sad:
:sigh:
:disappointed:
:cry:
:fear:
:surprise:
:unbelieve:
:shit:
:like:
:dislike:
:clap:
:cuff:
:fist:
:ok:
:file:
:link:
:place:
:contact:


LISTEN / DOWNLOAD MUSIC HERE:

Total Pageviews

904758
item