Taarifa ya Polisi Arusha ya matukio ya uhalifu na majina ya watuhumiwa wanaopandishwa kizimbani
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI JESHI LA POLISI TANZANIA Ndugu Wanahabari, Mtakumbuka Kuwa Wiki ...
https://gabriellabridalsolution.blogspot.com/2014/08/taarifa-ya-polisi-arusha-ya-matukio-ya.html
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI JESHI LA POLISI TANZANIA
Ndugu
Wanahabari, Mtakumbuka Kuwa Wiki Moja Iliyopita Jeshi La Polisi Lilitoa
Taarifa Kwa Umma Juu Ya Watuhumiwa Sita Waliokamatwa Na Kufikishwa
Mahakamani Kuhusiana Na Tukio La Mlipuko Wa Bomu Uliotokea Tarehe
07/07/2014 Katika Mgahawa Wa Vama Uliopo Maeneo Ya Viwanja Vya Gymkana
Jijini Arusha.
Taarifa
Hiyo Ilizungumzia Pia Tukio La Kukamatwa Kwa Mtuhumiwa Mmoja Ambaye
Baada Ya Kupekuliwa Nyumbani Kwake Alikutwa Na Mabomu Saba Ya Kurusha
Kwa Mkono, Risasi Sita Za Bunduki Aina Ya Shot-Gun Pamoja Na Unga Wa
Baruti. Tulieleza Pia Kuwa Operesheni Ya Kukamata Watuhumiwa Wengine
Kuhusiana Na Matukio Ya Milipuko Ya Mabomu Na Tindikali Ilikuwa
Ikiendelea, Na Kwamba Watuhumiwa Kadhaa Walikuwa Chini Ya Ulinzi Wa
Polisi Kuhusiana Na Matukio Hayo.
Kutokana
Na Operesheni Hiyo Endelevu, Watuhumiwa Wengine Kadhaa Wamekwisha
Kamatwa Na Kuhojiwa, Ambapo Ushahidi Uliokusanywa Umebaini Kuwa Kati Yao
Watuhumiwa Ishirini Na Moja (21) Wanahusika Katika Matukio Mbalimbali
Ya Ulipuaji Mabomu Na Kumwagia Watu Tindikali Hapa Jijini Arusha Katika
Kipindi Cha Kuanzia Mwaka 2012 Hadi Yale Yaliyotokea Katika Kipindi Cha
Hivi Karibuni. Watuhumiwa Hao Wanatazamiwa Kufikishwa Mahakamani Tarehe
01/08/2014 Kuungana Na Wenzao Waliokwisha Tangulia Ili Kujibu Mashitaka
Yanayowakabili. Ufafanuzi Wa Watuhumiwa Waliokamatwa Na Matukio
Waliyohusika Nayo Ni Kama Ifuatavyo:
I. TUKIO LA MLIPUKO WA BOMU NYUMBANI KWA SHEKH ABDULKARIM JONJO TAREHE 25/10/2012
WATAKAOFIKISHWA MAHAKAMANI:
1. YUSUPH S/O HUSEIN ALLY HUTA, MRANGI, MIAKA 30, MKAZI WA NGUSERO
2. KASSIM S/O IDRISA RAMADHAN, MRANGI, MIAKA 34, MKAZI WA NGUSERO BANDA MBILI, DEREVA BODABODA FRIENDS CORNERLL
3. MUSTAPHA S/O MOHAMED KIAGO, MZIGUA, MIAKA 49, MKAZI WA KALOLENI, NI SHEKH MSIKITI MKUU WA IJUMA
4. ABDUL-AZIZ S/O MOHAMED, MCHAGA, MIAKA 49, MKAZI WA ENEO LA FAYA, ALIKUWA IMAMU WA MSIKITI MKUU WA IJUMAA
II. TUKIO LA MLIPUKO WA BOMU KANISA LA ST. JOSEPH MFANYAKAZI OLASITI LA TAREHE 05/05/2013
WATAKAOFIKISHWA MAHAKAMANI:
1. YUSUPH S/O HUSEIN ALLY HUTA, MRANGI, MIAKA 30, MKAZI WA NGUSERO.
2. RAMADHAN S/O HAMAD WAZIRI, MRANGI, MIAKA 28, MKAZI WA KWA MOROMBO.
3.
ABDUL S/O MOHAMED HUMUD @ WAGOBA, MMANYEMA, MIAKA 30, MKAZI WA MURIET,
WAKALA WA MABASI YA MOHAMED TRANS (AMEKWISHAFIKISHWA MAHAKAMANI KWA
KUHUSISHWA NA TUKIO LA BOMU MGAHAWA WA VAMA)
4.
JAFAR S/O LEMA, MCHAGA, MIAKA 38, MKAZI WA NGULELO, ALIKUWA IMAMU WA
MSIKITI WA QUBA (AMEKWISHA FIKISHWA MAHAKAMANI KWA KUHUSISHWA NA TUKIO
LA BOMU MGAHAWA WA VAMA)
5.
SAID S/O MICHAEL TEMBA, MCHAGA, MIAKA 42, MKAZI WA SINONI- UNGA LTD,
MFANYABIASHARA SOKO LA KILOMBERO (AMEKWISHAFIKISHWA MAHAKAMANI KWA
KUHUSISHWA NA TUKIO LA BOMU MGAHAWA WA VAMA)
6. KASSIM S/O IDRISA RAMADHAN, MRANGI, MIAKA 34, MKAZI WA NGUSERO BANDA MBILI, DEREVA BODABODA FRIENDS CORNER
7. ABASHAR S/O HASSAN OMAR, MRANGI, MIAKA 24, MKAZI WA NGUSERO MWISHO WA HIACE, DEREVA BODABODA STAND KUU ARUSHA
8. ABDULRAHAMAN S/O JUMANNE HASSAN, MBONDEI, MIAKA 41, MKAZI WA SINONI, MFANYAKAZI WA STANBIC BANK ARUSHA
9. MORRIS S/O JOHN MUZI, MUHA, MIAKA 44, MKAZI WA KALINZI MKOANI KIGOMA
10. NIGANYA S/O HAMISI NIGANYA, MUHA, MIAKA 28, MKAZI WA BUSINDE UJIJI MKOANI KIGOMA
11. BARAKA S/O NTEMBO BILANGO, MUHA, MIAKA 40, MKAZI WA KALINZI MKOANI KIGOMA
12. HASSAN S/O ABDALLAH OMAR, MNYATURU, MIAKA 40, MKAZI WA ILONGERO MKOANI SINGIDA
III. TUKIO LA MLIPUKO WA BOMU VIWANJA VYA SOWETO KWENYE MKUTANO WA CHADEMA TAREHE 15/06/2013
WATAKAOFIKISHWA MAHAKAMANI:
1. YUSUPH S/O HUSEIN ALLY HUTA, MRANGI, MIAKA 30, MKAZI WA NGUSERO
2.
ABDUL S/O MOHAMED HUMUD @ WAGOBA, MMANYEMA, MIAKA 30, MKAZI WA MURIET,
WAKALA WA MABASI YA MOHAMED TRANS (AMEKWISHAFIKISHWA MAHAKAMANI KWA
KUHUSISHWA NA TUKIO LA BOMU MGAHAWA WA VAMA)
3.
JAFAR S/O LEMA, MCHAGA, MIAKA 38, MKAZI WA NGULELO, ALIKUWA IMAMU WA
MSIKITI WA QUBA (AMEKWISHA FIKISHWA MAHAKAMANI KWA KUHUSISHWA NA TUKIO
LA BOMU MGAHAWA WA VAMA)
4.
SAID S/O MICHAEL TEMBA, MCHAGA, MIAKA 42, MKAZI WA SINONI- UNGA LTD,
MFANYABIASHARA SOKO LA KILOMBERO (AMEKWISHAFIKISHWA MAHAKAMANI KWA
KUHUSISHWA NA TUKIO LA BOMU MGAHAWA WA VAMA)
5. KASSIM S/O IDRISSA RAMADHAN, MRANGI, MIAKA 34, MKAZI WA NGUSERO BANDA MBILI, DEREVA BODABODA FRIENDS CORNER
6. RAMADHAN S/O HAMAD WAZIRI, MRANGI, MIAKA 28, MKAZI WA KWA MOROMBO
7. ABASHAR S/O HASSAN OMAR, MRANGI, MIAKA 24, MKAZI WA NGUSERO MWISHO WA HIACE, DEREVA BODABODA STAND KUU ARUSHA
8. ABDULRAHAMAN S/O JUMANNE HASSAN, MBONDEI, MIAKA 41, MKAZI WA SINONI, MFANYAKAZI WA STANBIC BANK ARUSHA
9. MORRIS S/O JOHN MUZI, MUHA, MIAKA 44, MKAZI WA KALINZI MKOANI KIGOMA
10. NIGANYA S/O HAMISI NIGANYA, MUHA, MIAKA 28, MKAZI WA BUSINDE UJIJI MKOANI KIGOMA
11. BARAKA S/O NTEMBO BILANGO, MUHA, MIAKA 40, MKAZI WA KALINZI MKOANI KIGOMA
12. HASSAN S/O ABDALLAH OMAR, MNYATURU, MIAKA 40, MKAZI WA ILONGERO MKOANI SINGIDA
IV. TUKIO LA KUMWAGIWA TINDIKALI SHEKH SAID JUMA MAKAMBA WA MSIKITI WA KWA MOROMBO TAREHE 11/07/2013
WATAKAOFIKISHWA MAHAKAMANI:
1. YUSUPH S/O HUSEIN ALLY HUTA, MRANGI, MIAKA 30, MKAZI WA NGUSERO
2. RAMADHAN S/O HAMAD WAZIRI, MRANGI, MIAKA 28, MKAZI WA KWA MOROMBO.
3. KASSIM S/O IDRISA RAMADHAN, MRANGI, MIAKA 34, MKAZI WA NGUSERO BANDA MBILI, DEREVA BODABODA FRIENDS CORNER
4.
JAFAR S/O LEMA, MCHAGA, MIAKA 38, MKAZI WA NGULELO, ALIKUWA IMAMU WA
MSIKITI WA QUBA (AMEKWISHA FIKISHWA MAHAKAMANI KWA KUHUSISHWA NA TUKIO
LA BOMU MGAHAWA WA VAMA)
V. TUKIO LA KUMWAGIWA TINDIKALI SHEKH MUSTAPHA KIAGO WA MSIKITI MKUU LA TAREHE 28/02/2014
WATAKAOFIKISHWA MAHAKAMANI:
1. YUSUPH S/O HUSEIN ALLY HUTA, MRANGI, MIAKA 30, MKAZI WA NGUSERO
2. KASSIM S/O IDRISSA RAMADHAN, MRANGI, MIAKA 34, MKAZI WA NGUSERO BANDA MBILI, DEREVA BODABODA FRIENDS CORNER
3.
JAFAR S/O LEMA, MCHAGA, MIAKA 38, MKAZI WA NGULELO, ALIKUWA IMAMU WA
MSIKITI WA QUBA (AMEKWISHA FIKISHWA MAHAKAMANI KWA KUHUSISHWA NA TUKIO
LA BOMU MGAHAWA WA VAMA)
4. HASSAN S/O ALLY MFINANGA, MPARE, MIAKA 57, MKAZI WA MAKAO MAPYA, BIASHARA
VI. TUKIO LA BOMU ARUSHA NIGHT PARK (MTK) LA TAREHE 13/04/2014
WATAKAOFIKISHWA MAHAKAMANI:
1.
JAFAR S/O LEMA, MCHAGA, MIAKA 38, MKAZI WA NGULELO, ALIKUWA IMAMU WA
MSIKITI WA QUBA (AMEKWISHA FIKISHWA MAHAKAMANI KWA KUHUSISHWA NA TUKIO
LA BOMU MGAHAWA WA VAMA)
2. IBRAHIM S/O LENARD @ SHEKH ABUU ISMAIL, MSUKUMA, MIAKA 37, MKAZI WA MABATINI MKOANI MWANZA.
VII. TUKIO LA BOMU NYUMBANI KWA SHEKH SUDI ALLY SUDI LA TAREHE 03/07/2014
WATAKAOFIKISHWA MAHAKAMANI:
1. YAHAYA S/O TWALIB TWAHIR @ MPEMBA, MSAMBAA, MIAKA 37, MKAZI WA MTAA WA JALUO, MFANYABIASHARA YA DUKA MTAA WA BONDENI
2. IDD S/O RAMADHAN YUSUPH, MSAMBAA, MIAKA 23, MKAZI WA MTAA WA JALUO.
3.
SAID S/O MICHAEL TEMBA, MCHAGA, MIAKA 42, MKAZI WA SINONI- UNGA LTD,
MFANYABIASHARA SOKO LA KILOMBERO (AMEKWISHAFIKISHWA MAHAKAMANI KWA
KUHUSISHWA NA TUKIO LA BOMU MGAHAWAWA VAMA)
4. ANWAR S/O NASHER HAYEL, MNYAMWEZI, MIAKA 29, MKAZI WA NGULELO, MFANYABIASHARA
5.
JAFAR S/O LEMA, MCHAGA, MIAKA 38, MKAZI WA NGULELO, ALIKUWA IMAMU WA
MSIKITI WA QUBA (AMEKWISHA FIKISHWA MAHAKAMANI KWA KUHUSISHWA NA TUKIO
LA BOMU MGAHAWA WA VAMA)
6. HASSAN S/O ALLY MFINANGA, MPARE, MIAKA 57, MKAZI WA MAKAO MAPYA, BIASHARA
7. YUSUPH S/O ALLY RAADHAN @ SEFU, MPARE, MIAKA 23, MKAZI WA NGUSERO
8. ABASHAR S/O HASSAN OMAR, MRANGI, MIAKA 24, MKAZI WA NGUSERO MWISHO WA HIACE, DEREVA BODABODA STAND KUU ARUSHA
VIII. TUKIO LA KUPATIKANA NA MABOMU LA TAREHE 21/07/2014
WATAKAOFIKISHWA MAHAKAMANI:
1. YUSUPH S/O HUSEIN ALLY HUTA, MRANGI, MIAKA 30, MKAZI WA NGUSERO
2. SUMAIYA W/O YUSUPH HUSEIN ALLY, MWASI, MIAKA 19, MKAZI WA NGUSERO.
3. RAMADHAN S/O HAMAD WAZIRI, MRANGI, MIAKA 28, MKAZI WA KWA MOROMBO.
4. HASSAN S/O ALLY MFINANGA, MPARE, MIAKA 57, MKAZI WA MAKAO MAPYA, BIASHARA
5. ABASHAR S/O HASSAN OMAR, MRANGI, MIAKA 24, MKAZI WA NGUSERO MWISHO WA HIACE, DEREVA BODABODA STAND KUU ARUSHA
6. KIMORO S/O ISSA MCHANA @ OMAR @ ABUU TWALIB, MRANGI, 25YRS, MKAZI WA ITOLWA KONDOA
7. HASSAN S/O ABDALLAH OMAR, MNYATURU, MIAKA 40, MKAZI WA ILONGERO MKOANI SINGIDA.
8. MORRIS S/O JOHN MUZI, MUHA, MIAKA 44, MKAZI WA KALINZI MKOANI KIGOMA
9. NIGANYA S/O HAMISI NIGANYA, MUHA, MIAKA 28, MKAZI WA BUSINDE UJIJI MKOANI KIGOMA
10. BARAKA S/O NTEMBO BILANGO, MUHA, MIAKA 40, MKAZI WA KALINZI MKOANI KIGOMA
IX. KOSA LA KUHAMASISHA VITENDO VYA KIGAIDI KUPITIA MTANDAO WA KIJAMII
WATAKAOFIKISHWA MAHAKAMANI:
1. IBRAHIM S/O LENARD @ SHEKH ABUU ISMAIL, MSUKUMA, MIAKA 37, MKAZI WA MABATINI MKOANI MWANZA.
2. ANWAR S/O NASHER HAYEL, MNYAMWEZI, MIAKA 29, MKAZI WA NGULELO, MFANYABIASHARA
3. YASINI S/O MOHAMED SHABAN @ YAKI, MCHAGA, MIAKA 20, MKAZI WA KALOLENI MITA 200
OPERESHENI
YA KUWATAFUTA WATUHUMIWA WENGINE WA MATUKIO HAYA INAENDELEA NCHI NZIMA,
NA TAYARI TUNAYO MAJINA YA WATUHUMIWA KADHAA AMBAO WAMETOWEKA ARUSHA NA
KUELEKEA MAENEO MBALIMBALI YA NDANI NA NJE YA NCHI. MTUHUMIWA MMOJAWAPO
ANAYETAFUTWA SANA NA POLISI KUHUSIANA NA MATUKIO HAYA NI YAHAYA HASSAN
HELLA @ SENSEI, KABILA NI MRANGI, MZALIWA WA KIJIJI CHA CHEMCHEM WILAYA
YA KONDOA.
IMEBAINIKA
KUWA MTUHUMIWA HUYO NDIYE KINARA WA MATUKIO YA MILIPUKO YA MABOMU NA
TINDIKALI HAPA JIJINI ARUSHA KWA KUSHIRIKIANA NA WENZAKE WALIOKAMATWA,
NA AMBAO BADO WANAENDELEA KUTAFUTWA. JESHI LA POLISI LINAFANYA KILA
JITIHADA KUWEZA KUWAKAMATA WATUHUMIWA WOTE WALIOTOROKA NA KUHAKIKISHA
KUWA SHERIA INACHUKUA MKONDO WAKE.
ASANTENI KWA KUNISIKILIZA.
IMETOLEWA NA:-
LIBERATUS M. SABAS – SACP
KAMANDA WA POLISI MKOA WA ARUSHA
31/07/2014