Bondia Francis Miyeyusho kushoto akitunishiana misuli na Emilio Norfat baada ya kusaini mkataba wa kuzipiga Oktoba 5 katika uwanja wa M...
https://gabriellabridalsolution.blogspot.com/2014/09/miyeyusho-kuzipiga-na-norfat-oktoba-5.html
Bondia Francis Miyeyusho kushoto akitunishiana misuli na Emilio Norfat baada ya kusaini mkataba wa kuzipiga
Oktoba 5 katika uwanja wa Mkwakwani Tanga mpambano wa raundi nane katikati ni Mratibu wa mpambano huo Anton Rutta.
Bondia Francis Miyeyusho kushoto akitunishiana misuli na Emilio Norfat baada ya kusaini mkataba wa kuzipiga Oktoba 5 katika uwanja wa Mkwakwani Tanga mpambano wa raundi nane makubaliano hayo yalifanyika Dar es salaam jana.
Mabondia Emilio Norfat wa pili kushoto akitia saini ya kupambana na
Francis Miyeyusho kulia katika mpambano utakaofanyika
Oktoba 5 katika uwanja wa Mkwakwani Tanga mpambano wa raundi nane makubaliano hayo yalifanyika Dar es salaam jana wengine ni Ibrahimu Kamwe na Anton Rutta
Bondia Francis Miyeyusho kushoto akitunisha msuli pamoja na Emilio Norfat baada ya kusaini mkataba wa
kupanda uringoni Oktoba 5 katika uwanja wa Mkwakwani Tanga mpambano wa raundi nane.
Bondia Francis Miyeyusho kushoto akitunisha msuli pamoja na Emilio Norfat baada ya kusaini mkataba wa kupanda uringoni Oktoba 5 katika uwanja wa Mkwakwani Tanga mpambano wa raundi nane
Picha zote na: