UCHAGUZI WA WANAFUNZI KUJIUNGA KIDATO CHA TANO MWAKA 2014 - AWAMU YA PILI

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA WAZIRI MKUU - TAWALA ZA MIKOA NA  SERIKALI ZA MITAA UCHAGUZI WA WANAFUNZI KIDATO CHA TA...

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
OFISI YA WAZIRI MKUU - TAWALA ZA MIKOA NA 
SERIKALI ZA MITAA

UCHAGUZI WA WANAFUNZI KIDATO CHA TANO 2014 
AWAMU YA PILI

Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa imetangaza majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano 2014 awamu ya pili. 

Wanafunzi 8,101 wamechaguliwa kujiunga na kidato cha tano awamu ya pili 2014, kati ya hao 4,987 wamepangwa tahasusi za sayansi ya jamii na biashara na wanafunzi 3,114 wamepangwa tahasusi za sayansi. 

Wanafunzi hawa wanatakiwa kuripoti kwenye shule  walizopangiwa kuanzia tarehe 01 Septemba, 2014 na mwisho wa kuripoti ni tarehe 15 Septemba, 2014. 

Imetolewa na Katibu Mkuu
OFISI YA WAZIRI MKUU – TAMISEMI
29 AGOSTI, 2014

Kuona majina ya waliochaguliwa bofya hapa chini:



SOURCE: TAMISEMI

Related

ELIMU 1148442548316796708

Post a Comment

emo-but-icon

FOLLOW US

.

LISTEN / DOWNLOAD MUSIC HERE:

Total Pageviews

RECENT

Archive

item