CHADEMA YAISAMBARATISHA CCM UCHAGUZI WA VIJIJI KILOSA

Chama cha CHADEMA kimezidi kuonyesha umwamba dhidi ya CCM katika uchaguzi wa kijiji na kitongoji huko Kilosa. Taarifa zilizoingia hivi punde...




Chama cha CHADEMA kimezidi kuonyesha umwamba dhidi ya CCM katika uchaguzi wa kijiji na kitongoji huko Kilosa.
Taarifa zilizoingia hivi punde (Alfajiri ya leo) zinasema katika uchaguzi wa Mkiti kijiji cha Kifinga CHADEMA imeshinda kwa kura 450 dhidi ya 150 za CCM.
Katika uchaguzi wa Mkiti wa Kitongoji cha Ruaha B CHADEMA imeibuka na ushindi wa kura 600 dhidi ya kura 250.

SOURCE: Mtandao wa kijamii wa Chadema

Related

OTHER NEWS 4544085429212694175

Post a Comment

emo-but-icon

FOLLOW US

.

LISTEN / DOWNLOAD MUSIC HERE:

Total Pageviews

RECENT

Archive

item