GELE
GELE ni style maarufu sana huko nchini Nigeria hasa kwenye harusi za kitamaduni (Traditional Weddings), bila ya GELE bi harusi kwao anakuwa ...
https://gabriellabridalsolution.blogspot.com/2013/05/gele_17.html
GELE ni style maarufu sana huko nchini Nigeria hasa kwenye harusi za kitamaduni (Traditional Weddings), bila ya GELE bi harusi kwao anakuwa kama hajakamilika. Je wewe ni mpenzi wa GELE na ungependa kujifunza namna wanavyoifunga? Basi sawa, INGIA HAPA uone GELE inavyofungwa.