Lwakatare, Ludovick wafutiwa mashitaka ya ugaidi

Mahakama Kuu ya Tanzania imefuta mashitaka yote ya ugaidi yaliyokuwa yanawakabili Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa CHADEMA Wilfed Lwakat...




Mahakama Kuu ya Tanzania imefuta mashitaka yote ya ugaidi yaliyokuwa yanawakabili Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa CHADEMA Wilfed Lwakatare na mwenziye Ludovick Joseph.Taarifa zinasema Mahakama Kuu imebakiza shitaka moja tu, la kula njama ya kuteka na kudhuru, kosa  ambalo kimsingi ni la jinai na lenye dhamana.
Taarifa zaidi zinasema kuwa watuhumiwa wamerudishwa rumande kwa kuwa dhamana haikuwa imeandaliwa.
Katika kesi hii, Lwakatare anawakilishwa na jopo la mawakili watano ambao ni Mabere Marando, Tundu Lissu, Prof. Abdallah Safari, Peter Kibatala na Nyaronyo Kicheere.

Related

OTHER NEWS 1424374931941810631

Post a Comment

emo-but-icon

FOLLOW US

.

LISTEN / DOWNLOAD MUSIC HERE:

Total Pageviews

RECENT

Archive

item