ROONEY KUTUA BAYERN KWA PAUNI MIL. 30

Mshambuliaji wa Manchester United, Wayne Rooney ameelezea nia yake ya kwenda kukipiga kwenye klabu ya Bayern Munich ya nchini Ujerumani...


Mshambuliaji wa Manchester United, Wayne Rooney ameelezea nia yake ya kwenda kukipiga kwenye klabu ya Bayern Munich ya nchini Ujerumani. Mabingwa hao wa ujerumani wapo mbioni kukamilisha mkataba wa pauni milioni 30 na mshindi huyo wa zamani wa kiatu cha dhahabu wa klabu hiyo ya Old Trafoford na kwamba nyota huyo alishawaeleza wenzake jinsi anavyotamani kwenda kukipiga kwenye klabu hiyo majira haya ya joto, Daily Mail limeripoti.

SOURCE: Bingwa Tanzania

Related

OTHER NEWS 414809400709815286

FOLLOW US

.

LISTEN / DOWNLOAD MUSIC HERE:

Total Pageviews

RECENT

Archive

item