HABARI KAMILI...............MLIPUKO WA BOMU ARUSHA KWENYE MKUTANO WA CHADEMA

WATU 7 WAMEJERUHIWA KATIKA TUKIO LA MLIPUKO WA BOMU LILILOTEA LEO JIONI HUKO ARUSHA ENEO LA SOWETO KWENYE MKUTANO WA KAMPENI WA CHADEMA, MK...




WATU 7 WAMEJERUHIWA KATIKA TUKIO LA MLIPUKO WA BOMU LILILOTEA LEO JIONI HUKO ARUSHA ENEO LA SOWETO KWENYE MKUTANO WA KAMPENI WA CHADEMA, MKUTANO HUO ULIKUWA WA MWISHO KABLA YA UCHAGUZI WA MADIWANI UNAOTARAJIWA KUFANYIKA KESHO. BOMU HILO LILILIPUKA MARA BAADA YA KUFUNGWA KWA MKUTANO HUO. CHINI NI BAADHI YA PICHA ZA TUKIO HILO. 





 TUNAWAPA POLE WOTE WALIOATHIRIWA NA MLIPUKO HUO, MAJERUHI MUNGU AWAPONYE MRUDI KULIJENGA TAIFA LETU.


Related

OTHER NEWS 7622390633663760240

Post a Comment

emo-but-icon

FOLLOW US

.

LISTEN / DOWNLOAD MUSIC HERE:

Total Pageviews

RECENT

Archive

item