MBATIA ASHINDA NAFASI YA UENYEKITI NCCR MAGEUZI

James Mbatia ameweza kutetea vyema nafasi yake ya Uenyekiti wa chama cha NCCR Mageuzi kwa kupata kura 201 kati ya 227 na  kumpiku mpinzan...

James Mbatia ameweza kutetea vyema nafasi yake ya Uenyekiti wa chama cha NCCR Mageuzi kwa kupata kura 201 kati ya 227 na  kumpiku mpinzani wake Makofila aliyepata kura 26 kwenye uchaguzi uliofanyika leo. Nafasi ya Makamu Mwenyekiti imechukuliwa na Leticia Ghati (Bara), Haji Khamis (Zanzibar),  wakati huohuo nafasi za makatibu bado zikiwa wazi na uchaguzi utaendelea kesho kwa nafasi zilizobaki.

Related

OTHER NEWS 2052852279976538893

Post a Comment

emo-but-icon

FOLLOW US

.

LISTEN / DOWNLOAD MUSIC HERE:

Total Pageviews

RECENT

Archive

item