MWANDISHI WA BBC AFARIKI DUNIA GHAFLA.
Mwandishi wa BBC Komla Dumor MWANDISHI wa BBC Komla Dumor amefariki ghafla nyumbani kwake kutokana na mshtuko wa moyo. Alikuwa na...
Komla hivi karibuni alikuwa anaongoza kipindi cha Runinga kinachozungumzia maswala ya Afrika baada ya kufanya kazi katika radio mmoja nchini Ghana na vilevile radio ya BBC.
Muhariri wa habari za ulimwengu Andrew Whitehead amemtaja kuwa mwadishi shupavu aliyekuwa na uhusiano mzuri na wasikilizaji.