TAMASHA LA UZINDUZI WA ALBAM YA NYIMBO ZA INJILI YA MWIMBAJI NINGILE MWAKATAGE ULIOFANYIKA JANA TAREHE 02/06/2013 UKUMBI WA URAFIKI ULIOPO UBUNGO SHEKILANGO

Mgeni Rasmi kushoto na Mama Asha Baraka wakikata utepe kuashiria uzinduzi wa albam hiyo Jana siku ya jumapili mwimbaji wa injili anayek...

Mgeni Rasmi kushoto na Mama Asha Baraka wakikata utepe kuashiria uzinduzi wa albam hiyo
Jana siku ya jumapili mwimbaji wa injili anayekuja kwa kasi alizindua albam yake iliyobeba jina la "MWANAMBUZI " yenye nyimbo nane. Nyimbo zinazopatikana katika albam hiyo ni :
  1. Ni Wewe Pekee
  2. Mwanambuzi
  3. Syanaloli (Ni hakika)
  4. Liko Tumaini
  5. Ndoa
  6. Nasema Asante 
  7. Inua Moyo na 
  8. Utukuzwe
Waimbaji mbalimbali walikuwepo kusindikiza uzinduzi huo; Trinity band, Urafiki Fellowship Singers, Neema Mwaipopo, Bupe Kingu (Anatamba na kibao chake cha Andika ndoto yako), Janeth Mrema na wengine kibao.

Trinity wakimsifu Mungu

Sebene ilikolea hapa

Mc wa shughuli alikuwa mtangazaji machachari wa WAPO RADIO Ritha Chiwalo










Neema Mwaipopo wa pili kutoka kulia na Sololist wa Urafiki Fellowship Singers Da Rose wa sita kutoka kulia wakiyarudi mangoma ya YESU na wapendwa wengine


Mchungaji alifanya maombi kabla ya uzinduzi

wanazindua

Tayari

Mmeiona jamaniii????????????

Akipongezwa na Mume wake

Mama Asha Baraka akisema lake kusapoti huduma


Akipata nakala yake ya DVD

Kada wa chama nae ya kwake

Muimbaji wa Urafiki Fellowship Singers "a.k.a Mrs Enock"

Baada ya hapo ilikuwa ni kucheza sebene la YESU

Ritha Chiwalo wa WAPO RADIO
hongera dada Ningile kwa kazi ya Mungu, zidi kulitangaza jina lake kwa uimbaji, albam hii inapatikana katika Audio na DVD.

Related

OTHER NEWS 542448574330824786

Post a Comment

emo-but-icon

FOLLOW US

.

LISTEN / DOWNLOAD MUSIC HERE:

Total Pageviews

RECENT

Archive

item