TUMFAHAMU MGENI WETU RAIS WA MAREKANI BARACK HUSSEIN OBAMA JAPO KWA UFUPI

Raisi Barack Hussein Obana ni raisi wa 44 kutawala nchi ya Marekani na ni raisi wa kwanza mwenye mchanganyiko wa kiafrika na kimarekani kuta...

Raisi Barack Hussein Obana ni raisi wa 44 kutawala nchi ya Marekani na ni raisi wa kwanza mwenye mchanganyiko wa kiafrika na kimarekani kutawala nchi hiyo.
Alizaliwa huko Honolulu, Hawaii tarehe 4/08/1961. Baba yake, Barack Obama alikuwa mwanafunzi aliyetembelea Marekani kutokea nchini Kenya, alikutana na mama yake Ann Dunham mzaliwa wa Wichita, Kansas. Walifunga ndoa tarehe 2/08/1961 na kutalakiana mwaka 1964. Baba yake alifariki mwaka 1982 kwa ajali ya gari nchini kenya baada ya kurudi Afrika.

1960'S akiendesha baiskeli yake home


Barack Obama na mama yake Ann miaka ya 1960

Hii ilikuwa kati ya miaka ya 1960 mwishoni na mwanzoni mwa miaka ya 1970 alipopigwa picha hii akiwa na baba yake



Hii ni picha ya mwaka 1969 ilitolewa na shule ya SDN Menteng 1ya nchini Indonesia, ilikuwa ni graduation na Obama ni huyo aliyezungushiwa duara la njano, alisoma shule hiyo kipindi yupo mdogo akiishi nchini Indonesia.

1979 ilitolewa na Oahuan, kitabu cha mwaka cha Punahou School

Hapa akiwa Havard Law School

6 February 1990: Alipigwa picha hii akiwa mwanafunzi wa Harvard Law School huko Cambridge, Massachusetts

18 October 1992: Alifunga ndoa na Michelle Robinson huko Chicago, Illinois


 **************KARIBU TANZANIA BARACK HUSSEIN OBAMA**************

Related

OTHER NEWS 2739352735376816088

Post a Comment

emo-but-icon

FOLLOW US

.

LISTEN / DOWNLOAD MUSIC HERE:

Total Pageviews

RECENT

Archive

item