WOSIA WA MANDELA NA MAHALI ANAPOPENDA MAZISHI YAKE YAFANYIKE WAANDIKWA

Mifugo ya Mandela iliyopo Qunu Nelson Mandela alitoa maelekezo ya kwamba azikiwe maeneo ya vijijini milimani na si Pretoria, hii iliibuka ja...

Mifugo ya Mandela iliyopo Qunu

Nelson Mandela alitoa maelekezo ya kwamba azikiwe maeneo ya vijijini milimani na si Pretoria, hii iliibuka jana wakati maombi yanaendelea nje ya hospitali aliyolazwa kiongozi huyo wa zamani wa Afrika kusini.

Mandela aliacha wosia kwenye karatasi ya A4 ambao ulikuwa unaelekeza familia yake kwamba waiachie serikali kushughurukia shughuli za mazishi yake, lakini baadae kuuzika mwili wake kijijini kwao Qunu eneo lililopo umbali wa miles 600 Eastern Cape.

Related

OTHER NEWS 3971583100933988729

Post a Comment

emo-but-icon

FOLLOW US

.

LISTEN / DOWNLOAD MUSIC HERE:

Total Pageviews

RECENT

Archive

item