ANGELLA KAIRUKI ASIMIKWA KUWA KAMANDA WA UVCCM SAME, TAZAMA PICHA
Naibu waziri wa Sheria na Katiba Angellah Kairuki, akila kiapo cha kusimikwa kuwa kamanda wa umoja wa vijana UVCCM wilaya ya Same. ...
https://gabriellabridalsolution.blogspot.com/2014/04/angella-kairuki-asimikwa-kuwa-kamanda.html
Naibu
waziri wa Sheria na Katiba Angellah Kairuki, akila kiapo cha kusimikwa
kuwa kamanda wa umoja wa vijana UVCCM wilaya ya Same.
Katibu mkuu wa Umoja wa Vijana UVCCM Sixtus Mapunda, akimsimika Naibu Waziri wa Sheria na Katiba Angellah Kairuki, kuwa Kamanda wa Vijana wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro.
Katibu
mkuu wa umoja wa Vijana UVCCM, Sixtus Mapunda akimsomea , Naibu waziri
wa Sheria na Katiba Angellah Kairuki kiapo cha ukamanda
Naibu
waziri wa Sheria na Katiba Angellah Kairuki akizindua Shina la
wakereketwa wa umoja wa Vijana Uvccm, baada ya kusimikwa kuwa kamanda
wa umoja huo wilayani Same.
Katibu
mkuu wa umoja wa Vijana UVCCM, Sixtus Mapunda akimsomea , Naibu waziri
wa Sheria na Katiba Angellah Kairuki kiapo cha ukamanda.
Naibu
waziri wa Sheria na Katiba Angellah Kairuki akiwa kwenye picha ya
pamoja na baadhi ya viongozi wa timu za mpira, baada ya kuwakabidhi
vifaa vya michezo, kama njia ya kuwaunganisha vijana
pamoja.
pamoja.
Picha zote na Fadhili Athumani