MTOTO HUYU MWENYE UMRI UNAOKADIRIWA KUWA WA MIEZI SITA AMEOKWOTWA ENEO LA BAMAGA

MTOTO ALIYEOKOTWA KAKA ALIYEMUOKOTA MTOTO HUYO ASUBUHI YA LEO Mtoto anayekadiriwa kuwa na umri wa miezi sita ameokotwa leo asubuhi eneo la b...

MTOTO ALIYEOKOTWA


KAKA ALIYEMUOKOTA MTOTO HUYO ASUBUHI YA LEO
Mtoto anayekadiriwa kuwa na umri wa miezi sita ameokotwa leo asubuhi eneo la bamaga, kaka aliyeokota mtoto huyo amesema kwamba wakati anatoka kwenda mazoezi asubuhi alisikia sauti ya mtoto eneo hilo la bamaga ndipo aliposogea na kukuta mtoto ametelekezwa bila ya nguo yoyote. Aliamua kumchukua na kuripoti kituo cha polisi cha Mabatini, yeyote anayemfahamu mzazi/ndugu wa mtoto huyo atoe taarifa kituo cha polisi kilichopo karibu au Mabatini.

Note: Nimeguswa na taarifa hii, nikaona si vibaya kushare jamani ukiamua kuzaa ujue na kulea na sio kwenda kutupa mtoto barabarani. Mwenye kujua mdada aliyekuwa na ujauzito na akajifungua kisha hamumuoni mtoto mkamateni mumpleleke police huenda ndio mtoto wake huyu.

SOURCE: ITV HABARI ZA SAA

Related

MAJINA YA VIJANA KIDATO CHA SITA 2014 MUJIBU WA SHERIA AWAMU YA PILI NA VIKOSI WALIVYOPANGIWA

BULOMBORA - KIGOMA RWAMKOMA - MUSOMA MSANGE - TABORA KANEMBWA - KIGOMA RUVU - PWANI OLIJORO - ARUSHA MGAMBO KABUKU - TANGA MARAMBA - TANGA MAFINGA - IRINGA MLALE - SONGEA MTABILA - KIGOMA ...

MTOTO ALIYEFUNGIWA NDANI MIEZI TISA KWA ULEMAVU WA MDOMO SUNGURA ATIBIWA

 Mtoto Selemani Kolineli Mushi(Miezi kumi)kutoka Kijiji cha Igundu Kata ya Sangambi Wilaya ya Chunya Mkoani Mbeya Baada ya kufanyiwa upasuaji wa mdomo sungura  Yohana Kolineli ...

Post a Comment

emo-but-icon
:noprob:
:smile:
:shy:
:trope:
:sneered:
:happy:
:escort:
:rapt:
:love:
:heart:
:angry:
:hate:
:sad:
:sigh:
:disappointed:
:cry:
:fear:
:surprise:
:unbelieve:
:shit:
:like:
:dislike:
:clap:
:cuff:
:fist:
:ok:
:file:
:link:
:place:
:contact:


LISTEN / DOWNLOAD MUSIC HERE:

Total Pageviews

904759
item