OFISI MPYA ZA BODI YA MIKOPO YA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU

HESLB new offices, Mwenge, Dar es Salaam. Taarifa kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji. Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu inawajuli...

HESLB new offices, Mwenge, Dar es Salaam.
Taarifa kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji.
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu inawajulisha wadau wake wote kuwa Ofisi yake ya Makao Makuu imehama kutoka Jengo la TIRDO, Barabara ya Kimweri, Msasani kwenda  Kiwanja Na. 8, Kitalu Na. 46, Barabara ya Sam Nujoma, Mwenge, Dar es Salaam.  Huduma zote ikiwa ni pamoja na maombi ya mikopo kwa njia ya mtandao (OLAS) kwa sasa zimerejea katika hali ya kawaida.

Related

MRADI WA TEDAP KUTATUA CHANGAMOTO ZA UPATIKANAJI WA UMEME JIJINI DAR

 Meneja wa Miradi, Usambazaji na Usafirishaji kutoka Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Emmanuel Manderabona akiwaonesha waandishi wa habari mfumo wa usambazaji umeme kwenye Moja kituo cha M...

BUNGE LAREKEBISHA KANUNI KUWARUHUSU WAJUMBE WALIOKO NJE WAPIGE KURA

BUNGE Maalum la Katiba limepitisha marekebisho ya Kanuni ili kuliwezesha kufikia hatua ya mwisho ya upigaji kura kuanzia tarehe 29 Septemba hadi tarehe 2 Oktoba mwaka huu. Hatua hiyo ilileng...

CHADEMA: MAANDAMANO BILA UKOMO PALE PALE

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesisitiza kuwapo kwa maandamano yasiyo na kikomo yatakayoanza leo katika baadhi ya mikoa licha ya jeshi la polisi kuzuia.Chama hicho kimesema ma...


LISTEN / DOWNLOAD MUSIC HERE:

Total Pageviews

904746
item