BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI: WABUNGE WA TANZANIA WATOKA NJE KUPINGA WABUNGE WA NCHI NYINGINE KUTOKA NJE KUSHINIKIZA HOJA ZAO

Spika wa Bunge la Afrika Mashariki(EALA)Magreth Zziwa akimsikiliza mbunge wa bunge hilo kutoka Tanzania,Shyrose Bhanji wakati wakielekea ...

Spika wa Bunge la Afrika Mashariki(EALA)Magreth Zziwa akimsikiliza mbunge wa bunge hilo kutoka Tanzania,Shyrose Bhanji wakati wakielekea bungeni.

Spika akiongoza kikao cha leo mchana ambacho kiliahirishwa baada ya wabunge wa Tanzania kutoka nje

Wabunge wa Tanzania kwenye bunge la Afrika Mashariki(EALA)wakitoka ndani ya ukumbi wa bunge hilo leo kupinga wabunge wenzao wanaoshinikiza hoja zao kwa kutoka kwenye vikao vya bunge hali inayoshusha hadhi ya Spika,bunge na wabunge wenyewe,kutoka kushoto ni Mh.Twaha Taslima,Mh.Shyrose Bhanji,Mh.Abdula Mwinyi na Nderakindo Kessy

Kiongozi  wa baraza la Wawakilishi Zanzibar,Ali Mzee(kulia)akizungumza na wabunge wa Tanzania kwenye Jumuiya ya Afrika Mashariki(EALA)kutoka kushoto ni Mh.Shyrose Bhanji,Mh.Nderakindo Kessy,Mh.Twaha Taslima na Mh.Abdula Mwiny

Mbunge wa Tanzania kwenye bunge la Afrika Mashariki(EALA)akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari yalipo makao makuu wa Afrika Mashariki jijini Arusha baada ya kutoka nje na kikao kuhairishwa hadi kesho

Mbunge wa Tanzania katika bunge la Afrika Mashariki,Makongoro Nyerere(shoto)akifurahia jambo na Mbunge Peter Mathuki aliyewasilisha hoja ya kutaka vikao vya bunge vifanyike kila mwanachama na sio Arusha pekee yalipo makao makuu ya EAC
Maafisa wa bunge wakitafakari baada ya wabunge wa Tanzania kutoka nje na Spika kuhairisha kikao hadi kesho





Picha zote kwa hisani ya http://rweyemamuinfo.blogspot.com

Related

TANGAZO MUHIMU KWA WALIMU NA VIJANA WALIOMALIZA KIDATO CHA SITA MWAKA 2014 KUHUSU KUJIUNGA NA MAFUNZO YA JKT KWA MUJIBU WA SHERIA MWEZI SEPTEMBA 2014

1. Awamu ya pili kwa vijana watakaojiunga na Jeshi la Kujenga Taifa kwa Mujibu wa Sheria itaanza rasmi tarehe 11 septemba, 2014 na itahusisha makundi yafuatayo:- Walimu wote ngazi ya cheti (GA...

CHADEMA: TAMKO KUHUSU KUONDOKA KWA WALIOKUWA VIONGOZI

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Jimbo la Kigoma Kaskazini tunapenda kutoa taarifa kwa umma kutokana na sintofahamu inayotaka kulazimishwa mbele ya jamii kuhusu uimara wa chama che...

CAG AMUITA KAFULILA KUTOA USHAHIDI SAKATA LA IPTL

 Mkaguzi na Mdhibiti wa Hesabu za Serikali (CAG), Ludovick Utouh MOROGORO.  Mkaguzi na Mdhibiti wa Hesabu za Serikali (CAG) amemuandikia barua mbunge wa Kigoma Kusini (NCCR-Mageuzi), ...


LISTEN / DOWNLOAD MUSIC HERE:

Total Pageviews

904754
item