DHAMANA YA PONDA YAKATALIWA

Mahakama mkoani Morogoro imemnyima Ponda Issa ponda dhamana kwenye kesi yake ya uchochezi katika uamuzi uliotoka leo, hivyo amerudishwa...

Mahakama mkoani Morogoro imemnyima Ponda Issa ponda dhamana kwenye kesi yake ya uchochezi katika uamuzi uliotoka leo, hivyo amerudishwa rumande hadi kesi yake itakapotajwa tena Octoba 1 ambapo mahakama itatoa uamuzi juu ya pingamizi aliloweka kuzuia isiamue hatma ya kifungo chake cha nje alichopewa na mahakama ya Kisutu mwezi Mei mwaka huu.

Related

OTHER NEWS 4875549462501575169

FOLLOW US

.

LISTEN / DOWNLOAD MUSIC HERE:

Total Pageviews

RECENT

Archive

item