KESI YA WAZIRI MKUU PINDA KUTAJWA RASMI SEPTEMBER 16

Kesi ya kikatiba inayomkabili Waziri Mkuu, Mizengo Pinda iliyofunguliwa na LHRC imepangiwa tarehe na sasa itatajwa rasmi Septemba 16 mwa...

Kesi ya kikatiba inayomkabili Waziri Mkuu, Mizengo Pinda iliyofunguliwa na LHRC imepangiwa tarehe na sasa itatajwa rasmi Septemba 16 mwaka huu. LHRC walimfungulia Waziri Mkuu Pinda, kesi hiyo kutokana na kauli yake aliyoitoa bungeni ya kuruhusu vyombo vya usalama kuwapiga watu wanaokataa kutii sheria zinazotolewa na mamlaka husik. Kwa mujibu wa hati ya mashtaka, Waziri Pinda, anakabiliwa na tuhuma za kudaiwa kuvunja Katiba ya nchi kwa kuruhusu askari kuwapiga wananchi.

Related

OTHER NEWS 7647874654397104895

FOLLOW US

.

LISTEN / DOWNLOAD MUSIC HERE:

Total Pageviews

RECENT

Archive

item