MAONYESHO YA NYARAKA ZA KITAIFA NA KUMBUKUMBU ZA OMAN YAZINDULIWA NA MAKAMU WA RAIS

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt.  Mohammed Gharib Bilal, akikata utepe kuzindua rasmi maonesho ya nyaraka ya ...

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt.  Mohammed Gharib Bilal, akikata utepe kuzindua rasmi maonesho ya nyaraka ya kitaifa na kumbukumbu za Oman yaliyofanyika.katika ukumbi wa Mlimani  City jijini Dar es salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt.  Mohammed Gharib Bilal, akihutubia kwenye ufunguzi wa maonesho ya nyaraka ya kitaifa na kumbukumbu za Oman yaliyofanyika katika ukumbi wa Mlimani  City jijini Dar es salaam.
  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt.  Mohammed Gharib Bilal, akipokea zawadi kutoka kwa Mwenyekiti wa Mamlaka ya Hifadhi ya kumbukumbu za Kitaifa za Oman Dk.t Hemed Mohammed Al-Dhawyani kwenye ufunguzi wa maonesho ya nyaraka ya kitaifa na kumbukumbu za Oman yaliyofanyika  katika ukumbi wa Mlimani  City jijini Dar es salaam
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiangalia nyaraka za aina mbalimbali za kumbukumbu kwenye maonesho ya nyaraka za kitaifa na kumbukumbu za Oman mara baada ya kufungua maonesho hayo, katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam.


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa kwenye picha ya pamoja na washiriki wa maonesho ya kumbukumbu za nyaraka ya kitaifa za Oman mara baada ya kufungua maonesho hayo leo Sept 09-2013 katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam.

Related

WASSIRA, MAKAMBA WALIPOHOJIWA NA KAMATI YA MAADILI CCM

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Mahusiano na Uratibu ) Ndugu Stephen Wassira akitoka nje ya ukumbi wa White House baada ya kumaliza mahojiano na Kamati Ndogo ya Maadili.  Waziri wa Nchi ...

YANGA YAFUZU VPL

Yanga imefanikiwa kuifunga Komorozine bao 5-2 hivyo kufuzu kuvuka raundi ya kwanza ya mashindano haya ya CAF, katika mchezo huu Ngassa aliifungia timu yake mabao 3.

TAMKO LANGU KWA UMMA KUHUSU MCHAKATO WA KUANDIKA KATIBA MPYA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

Ndugu wanahabari na wa Tanzania wenzangu, Nimekuwa nikilazimika kujibu maswali mbalimbali kutoka kwa wanahabari, ndugu, jamaa na marafiki kuhusiana na namna mchakato wa kuandika katiba mpya y...


LISTEN / DOWNLOAD MUSIC HERE:

Total Pageviews

904758
item