YANGA YAKUBALI KIPIGO CHA MABAO 3-2 KUTOKA KWA AZAM

Mshambuliaji wa Yanga Didie Kavumbago akipimana msuli na mliniz wa Azam FC Kipre Balou katika mchezo huo. Mshambuliaji wa Yanga Hami...

Mshambuliaji wa Yanga Didie Kavumbago akipimana msuli na mliniz wa Azam FC Kipre Balou katika mchezo huo.
Mshambuliaji wa Yanga Hamis Kiiza akichuana na mlinzi wa Azam FC, Waziri Salam wakati wa mchezo wao wa ligi kuu ya vodacom Tanz
ania bara katika uwanja wa taifa jijini Dar es Salaam ambapo katika mchezo huo Yanga ilikubali kipigo cha bao 3-2. Picha na Francis Dande.


Related

OTHER NEWS 1054814890121661040

FOLLOW US

.

LISTEN / DOWNLOAD MUSIC HERE:

Total Pageviews

RECENT

Archive

item