KESI YA UHURU KENYEATA ICC YASOGEZWA MBELE

Mahakama The Hague imesogeza hadi Februari 5, 2014 kesi ya mauaji, kukiuka haki za binadamu inayomkabili Uhuru Kenyatta rais wa Kenya. Awa...

Mahakama The Hague imesogeza hadi Februari 5, 2014 kesi ya mauaji, kukiuka haki za binadamu inayomkabili Uhuru Kenyatta rais wa Kenya. Awali kesi hiyo ilikuwa ianze kusikilizwa Novemba 12, 2013.

Related

OFISI YA CCM WILAYA YA MBINGA YACHOMWA MOTO

Katibu wa chama cha Mapinduzi wilaya ya Mbinga Anastasia Amasi akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake ambao hawapo pichani. Katibu wa chama cha Mapinduzi wilaya ya Mbinga Anastasia Amasi ak...

CHAMA KIPYA CHA SIASA CHAANZISHWA NCHINI AFRIKA KUSINI

Dr. Ramphele muasisi wa chama cha AGANGMmoja wa wanaharakati wa kupinga ubaguzi wa rangi nchini Afrika Kusini Dr. Ramphele amezindua chama kipya cha kisiasa kutoa changamoto kwa chama tawala cha ANC...

NIGERIA WAONDOLEWA KOMBE LA MABARA

Mabingwa wa Afrika, timu ya taifa ya Nigeria imeondolewa kwenye michuano ya kombe la mabara baada ya kutandikwa mabao 3-0 na mabingwa wa dunia Hispania. Mabao mawili ya beki wa klabu ya Barcelo...


LISTEN / DOWNLOAD MUSIC HERE:

Total Pageviews

904765
item