Left: Henry and Right: Dr. Livingstone Hapa ndio Mwisho wa Reli Kigoma Jengo la Stesheni lililopo Kigoma mjini ...
https://gabriellabridalsolution.blogspot.com/2013/10/taswira-mbalimbali-kutoka-mjini-kigoma.html
|
Left: Henry and Right: Dr. Livingstone |
|
Hapa ndio Mwisho wa Reli Kigoma |
|
Jengo la Stesheni lililopo Kigoma mjini |
|
Stand ya daladala kigoma mjini |
|
Boda boda na huku tupo..... |
|
Picha ya kumbukumbu reli inapoishia |
|
Jengo la steshen kwa nyuma |
MAKUMBUSHO YA DR. LIVINGSTONE - KIGOMA UJIJI
MJI WA UJIJI
VIINGILIO HIVI HAPA
DR. LIVINGSTON NI NANI?
PICHA MBALIMBALI NDANI YA MAKUMBUSHO
|
Picha hii inaonyesha mahali Dr. Livingstone alipopenda kukaa mida ya jioni kando kando ya ziwa chini ya mwembe ambapo kwa sasa ziwa limehama na badala yake wamejenga jiwe la msingi kama alama na matawi ya mwembe huo waliyaotesha pembeni. |
|
HAPA NDIO PALE HENRY ALIPOKUTANA NA DR. LIVINGSTONE
|
Miembe iliyooteshwa kutoka kwenye mwembe aliopendelea kukaa Dr. Livingstone |
|
Enzi hizo ziwa liligotea hapo kwenye hizi ngazi lakini kwa sasa ziwa lipo mbali sana kutokea hapa |
SHUGHULI ZAUVUVI ENEO LA KATONGA - KIGOMA
|
Dagaa wameanikwa tayari kwa kukaushwa, na hukaushwa kwa muda wa siku mbili |
|
Maandalizi ya nyavu za kuanikia dagaa |
|
Kina mama nao hawako nyuma katika biashara hii, hapa wakianika dagaa wao chini kwani hawana nyavu za kuanikia juu. |
|
Makini kupokea maelekezo kutoka kwa mwenyeji |
|
Boti zetu ziko vizuri tayari kwa kazi jioni......... |
|
tayari kwa kazi..... |
|
Mafundi wakirekebisha moja ya boti zilizopata hitilafu |
|
ukaushaji ukiendelea |
|
Dagaa wa kigoma.... |
|
Mwisho wa siku dagaa huingizwa sokono ili kuwafikia walaji |
|
Kina mama wakiuza dagaa wao soko la katonga |
PICHA ZOTE KWA HISANI YA
MAPOCHISIDE BLOG