WAZIRI MKUU WA LIBYA AACHIWA HURU BAADA YA KUTEKWA LEO ALFAJIRI

Waziri mkuu wa Libya, Ali Zeidan akiwa amezungukwa na watu eneo lisilojulikana Waziri mkuu wa Libya, Ali Zeidan ameripoti kuachiwa huru...

Waziri mkuu wa Libya, Ali Zeidan akiwa amezungukwa na watu eneo lisilojulikana
Waziri mkuu wa Libya, Ali Zeidan ameripoti kuachiwa huru baada ya kutekwa leo alfajiri. Tukio hilo lilitokea majira ya saa 10 alfajiri hotelini Tripoli anapoishi. Hii imetokea baada ya waziri mkuu huyo kuomba nchi za magharibi zimsaidie kudhibiti waasi.
 

Related

OTHER NEWS 4741675868041371176

FOLLOW US

.

LISTEN / DOWNLOAD MUSIC HERE:

Total Pageviews

RECENT

Archive

item