BOTI YAWAKA MOTO

Wavuvi wapatao 11 wameokolewa kutoka kwenye jahazi iliyokuwa ikiwaka moto kwenye bahari ya hindi, 10km toka bandari ya Dar es salaam lei a...

Wavuvi wapatao 11 wameokolewa kutoka kwenye jahazi iliyokuwa ikiwaka moto kwenye bahari ya hindi, 10km toka bandari ya Dar es salaam lei asubuhi. Chanzo cha ajali hiyo ni injini, polisi imethibitisha kutokea kwa tukio hilo.

Related

OTHER NEWS 3573334185081338863

FOLLOW US

.

LISTEN / DOWNLOAD MUSIC HERE:

Total Pageviews

RECENT

Archive

item