ANC WATOA HESHIMA ZAO ZA MWISHO KWA ALIYEWAHI KUWA KIONGOZI WAO MAREHEMU NELSON MANDELA LEO
Nelson Mandela - Madiba Mandla Mandela akiaga mwili wa marehemu babu yake Nelson Mandela 14 December, 2013 huko Pritoria mjane w...
https://gabriellabridalsolution.blogspot.com/2013/12/anc-watoa-heshima-zao-za-mwisho-kwa.html
Nelson Mandela - Madiba |
Mandla Mandela akiaga mwili wa marehemu babu yake Nelson Mandela 14 December, 2013 huko Pritoria |
mjane wa marehemu Graca Machel |
Wajumbe wa ANC |
Grace Machel, Rais Jacob Zuma na Winnie Madikizela - Mandela wakifatilia tukio hilo |
Makamu wa rais Kgalema Montlanthe alikuwepo |
Rais wa zamani wa SA Thabo Mbeki na Jesse Jackoson wakifatilia |
Ndehe iliyobebe jeneza la Mandela kuelekea kijijini kwao Qunu |
Leo wanachama wa cha siasa cha ANC ambacho rais wa kwanza mweusi wa Afrika Kusini marehemu Nelson Mandela alikuwa mwanachama, walipata nafasi ya kuaga mwili wa marehemu shughuli iliyofanyika huko Pretori[a leo. Jeneza lililobeba mwili wa Mandela lilifunikwa bendela ya chama cha ANC, na watu wapatao 2,000 wamehudhuria tukio hilo.
Rais Jacob Zuma ameambatana na wanajeshi wapatao 11,000 kumsaidia kuusindikiza mwili wa Mandela kuelekea Mthatha na kisha kijijini kwao Qunu eneo lililopo umbali wa Km 36 kutoka Mthatha.
Msemaji wa familia ya Mandela bwana Temba Matanzima amesema wanafamilia watajumuika kumsindikiza Mandela katika safari yake.
Serikali ya Afrika Kusini imetoa ratiba kamili ya mazishi yatakayo fanyika kesho tarehe 15/12/2013