BREAKING NEWS!!!!!! RAIS ATENGUA UTEUZI WA MAWAZIRI 4, KAGASHEKI ATANGAZA KUJIZULU BUNGENI

TAARIFA ILIYOTELEWA BUNGENI USIKU HUU NA WAZIRI MKUU, RAIS AMETENGUA UTEUZI WA MAWAZIRI WAKE 4, KABLA YA TAARIFA YA WAZIRI MKUU WAZIRI WA...

TAARIFA ILIYOTELEWA BUNGENI USIKU HUU NA WAZIRI MKUU, RAIS AMETENGUA UTEUZI WA MAWAZIRI WAKE 4, KABLA YA TAARIFA YA WAZIRI MKUU WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII BALOZI KAGASHEKI ALITANGAZA KUJIUZULU RASMI NAFASI HIYO.


HII IMEKUJA BAADA YA TAARIFA YA KAMATI YA ARDHI, MALIASILI NA UTALII ILIYOSOMWA NA MWENYEKITI WAKE JAMES LEMBELI BAADA YA KUCHUNGUZA SWALA LA OPERESHENI TOKOMEZA  KUSOMWA LEO BUNGENI NA KUONYESHA MAOVU YALIYOFANYIKA KWENYE OPARESHENI HIYO.

WIZARA ZILIZOKUMBWA NA SAKATA HILO NI:
  • WIZARA YA MALIASILI NA UTALII - BALOZI KHAMIS KAGASHEKI
BALOZI KHAMIS JUMA KAGASHEKI

  • WIZARA YA MAMBO YA NDANI - EMMANUEL NCHIMBI
EMMANUEL NCHIMBI

  • WIZARA YA ULINZI NA USALAMA WA TAIFA - SHAMSI VUAI NAHODHA
SHAMSI VUAI NAHODHA

  • WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI - DKT. DAVID MATHAYO DAVID (MB)
DKT. DAVID MATHAYO DAVID (MB)

Related

OTHER NEWS 3272010723264413560

Post a Comment

emo-but-icon

FOLLOW US

.

LISTEN / DOWNLOAD MUSIC HERE:

Total Pageviews

RECENT

Archive

item