DKT. KITILA NA MWIGAMBA WAVULIWA UANACHAMA NDANI YA CHAMA CHA CHADEMA

DKT. KITILA MKUMBO SAMSON MWIGAMBA KAMATI Kuu ya Chadema iliyokutana Januari 3 - 4, 2014 katika Ukumbi wa Mbezi Garden, jiji...

DKT. KITILA MKUMBO


SAMSON MWIGAMBA

KAMATI Kuu ya Chadema iliyokutana Januari 3 - 4, 2014 katika Ukumbi wa Mbezi Garden, jijini Dar es Salaam imeamua kuwavua uanachama Dkt. Kitila Mkumbo na Samson Mwigamba kuanzia jana. Maamuzi hayo ni baada ya kunasa mawasiliano mbalimbali ya Zitto Kabwe na washirika wake akiwemo anayejulikana kwa jina la Chadema Mpya.

Akizungumza na wanahabari leo, Katibu Mkuu wa chama hicho, Dk Willbroad Slaa amesema malengo ya waraka wa mabadiliko waliokutwa nao wahusika hayakuwa ya kisiasa tu bali yalikuwa na lengo la kuimaliza chadema na kuwabomoa viongozi wa chama.

Ameongeza kuwa, chama kinawatangazia wanachama wote na wapenzi wote kutokushiriki mikutano ama shughuli zozote za kisiasa zitakazoandaliwa na Zitto Kabwe na washirika wake kwa jina la Chadema.

Related

OTHER NEWS 2496027708790572238

Post a Comment

emo-but-icon

FOLLOW US

.

LISTEN / DOWNLOAD MUSIC HERE:

Total Pageviews

RECENT

Archive

item