MWILI WA MAREHEMU WILLIAM MGIMWA WAAGWA VIWANJA VYA KARIMJEE JIJINI DAR ES SALAAM

Jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Waziri wa Fedha na Uchumi, Dk. William Mgimwa likiwa mbele ya waombolezaji. Rais Jakaya Kikwete...


Jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Waziri wa Fedha na Uchumi, Dk. William Mgimwa likiwa mbele ya waombolezaji.


Rais Jakaya Kikwete pamoja na Mama Salma wakiaga mwili wa marehemu Dk. Mgimwa


Makamu wa Rais, Dk. Gharib Bilal akimpa mkono wa pole mke wa marehemu Dk. Mgimwa, Jane Mgimwa baada ya kuaga mwili.

Spika wa Bunge, Anna Makinda akiaga mwili wa marehemu.


 Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani na Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu Mgimwa.


Jeneza lenye mwili wa marehemu likiwa viwanjani hapo wakati wa shughuli za kuaga.


Wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama nchini, kutoka kushoto ni Kamishna Jenerali wa Magereza John  Minja, Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Ernest Mangu, Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange na Kamanda wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Suleiman Kova wakiwa katika Viwanja vya Karimjee kuaga mwili wa Dk. Mgimwa.
 
(PICHA NA HARUNI SANCHAWA / GPL)

Related

TAARIFA KUHUSU UKAGUZI WA LESENI ZA BIASHARA

 Afisa Habari na Mawasiliano wa Wizara ya Viwanda na Biashara Nicodemus Mushi, akizungumza na waandishi wa habari kuhusu ukaguzi wa leseni za biashara kwenye ukumbi wa MAELEZO leo jijini D...

MAISHA PLUS REKEBISHA: WASHIRIKI KUTOKA RWANDA, BURUNDI, KENYA NA UGANDA WAKO MORO

Dar es alaam. WASHIRIKI wa shindano la Maisha Plus ambayo kwa mwaka 2014 inatambulika kwa jina la Maisha Plus Rekebisha, kutoka nchini Kenya, Rwanda,Uganda na Burundi tayari wameshawasili nchi...

Post a Comment

emo-but-icon
:noprob:
:smile:
:shy:
:trope:
:sneered:
:happy:
:escort:
:rapt:
:love:
:heart:
:angry:
:hate:
:sad:
:sigh:
:disappointed:
:cry:
:fear:
:surprise:
:unbelieve:
:shit:
:like:
:dislike:
:clap:
:cuff:
:fist:
:ok:
:file:
:link:
:place:
:contact:


LISTEN / DOWNLOAD MUSIC HERE:

Total Pageviews

904754
item