KAMPUNI YA WORLD BUZ YAELEZA NJIA MBADALA KUPUNGUZA GHARAMA WAFANYABIASHARA WADOGO KUFUATA BIDHAA CHINA
Ofisa mtendaji mkuu wa kampuni ya China Word Buz na mwakilishi wa wamiliki wa viwanda 45 nchini China vilivyoingia mkataba wa kibiash...
https://gabriellabridalsolution.blogspot.com/2014/01/kampuni-ya-world-buz-yaeleza-njia.html
Ofisa
mtendaji mkuu wa kampuni ya China Word Buz na mwakilishi wa wamiliki
wa viwanda 45 nchini China vilivyoingia mkataba wa kibiashara na kampuni
hiyo China Bwana Cheng Wang Wu akizungumza na waandishi wa habari
kwenye hoteli ya Palace jijini Arusha wakati wa semina na waandishi hao
kuhusu mfumo wa kampuni hiyo utakaosaidia wafanyabiashara wadogo wa
Tanzania kutafuta soko la bidhaa nchini China na kuwapa taarifa sahihi
za masoko kwa msaada wa kampuni hiyo,Mfumo huo hautampa
gharama kubwa mfanyabiashara kama vile Usafiri , Chakula, Hoteli.kwani
hatalazimika kusafiri kwenda China ili kununua bidhaa badala yake
kampuni hiyo itamuagizia na kumfikisha mahali alipo ama kumshauri ni
njia gani anaweza kutumia kupata bidhaa kutoka China, kulia ni Shafii Mwaijande Ofisa Mtendaji Mkuu wa China Word Buz kwa upande wa Tanzania.
Meneja Mkuu wa kampuni hiyo nchini China Justin Luvanda akifafanua jambo wakati wa semina hiyo kwenye hoteli ya Palace jijini Arusha, kulia ni Ofisa
mtendaji mkuu wa kampuni ya China Word Buz na mwakilishi wa wamiliki
wa viwanda 45 nchini China vilivyoingia mkataba wa kibiashara na kampuni
hiyo.
Baadhi ya waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali wakiwa katika semina hiyo leo
Justin Luvanda akifafanua jambo wakati wa semina hiyo kwenye hoteli ya Palace jijini Arusha, kulia ni Ofisa
mtendaji mkuu wa kampuni ya China Word Buz na mwakilishi wa wamiliki
wa viwanda 45 nchini China vilivyoingia mkataba wa kibiashara na kampuni
hiyo China Bwana Cheng Wang Wu na kushoto ni mmoja wa maofisa wa
kampuni hiyo China.
Ofisa
Mtendaji Mkuu wa kampuni hiyo hapa nchini Bw. Shafii Mwaijande
akitambulisha kampuni hiyo kwa waandishi wa habari jijini Arusha leo
wakati wa semina hiyo. (PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-ARUSHA)