Rais wa Zanzibar, Dk Shein afungua jengo jipya la ZAPHA+
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akikata utepe kama ishara ya kulizindua jengo jipya la Jumuiy...
https://gabriellabridalsolution.blogspot.com/2013/09/rais-wa-zanzibar-dk-shein-afungua-jengo.html
|
Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akikata utepe
kama ishara ya kulizindua jengo jipya la Jumuiya Wanaoishi na Virusi vya
Ukimwi ZAPHA+ huko Welezo jana,(katikati) Mwenyekiti wa Bodi ya ZAPHA+
Bi Hasina Hamadi |
|
Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, (katikati)
alipokuwa akitia saini kitabu cha wageni alipofika katika sherehe za
uzinduzi wa jengo jipya la Jumuiya ya Watu wanaoishi na Virusi vya
Ukimwi ZAPHA+ huko Welezo kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya Jumuiya hiyo Bi
Hasina Hamadi |
|
Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,(kushoto)akimuangalia Mshauri nasaha Suluhu Ramadhan (kulia)
alipokuwa akitoa huduma kwa Hapsa Rakwe,(mwenye buibui)alipokuwa
akitembelea sehemu mbali mbali za jengo jipya la Jumuiya ya Wanaoishi na Virusi vya Ukimwi ZAPHA+ huko Welezo ,baada ya kulizindua Rasmi |
|
Mtoto
Suhaila Mshamu, ni miongoni mwa Watoto wanaoishi katika mazingira
magumu akisoma Risala kwa niaba ya watoto katika wilaya mbali
mbali,wakati wa sherehe za Uzinduzi wa jengo jipya la Jumuiya ya ZAPHA+
|
|
Mwenyekiti wa
Jumuiya ya watu wanaoishi na Virusi vya Ukimwi ZAPHA+ Consolata
John,alipokuwa akimkabidhi risala ya kwa niaba ya wanachama wenzake kwa
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,wakati wa sherehe za uzinduzi wa Jengo jipya la Jumuiya hiyo. |
|
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,alipokuwa akitoa hutuba yake wakati wa sherehe za uzinduzi wa Jengo jipya la Jumuiya ya ZAPHA+. |
|
Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(katikati)
akiwa katika picha ya pamoja na watoto wanaoishi katika mazingira
magumu,wakati wa sherehe za uzinduzi wa Jengo jipya la Jumuiya wanaoishi
na Virusi vya Ukimwi huko Welezo . [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu-Zanzibar |