MHE.SITTA AZUNGUMZA NA WAKULIMA WA PAMBA

  Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta akizungumza na baadhi  viongozi na wajumbe kutoka Chama cha Wakulima Wado...


 Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta akizungumza na baadhi  viongozi na wajumbe kutoka Chama cha Wakulima Wadodowadogo wa zao la Pamba Tanzania(TACOGA) katika ukumbi wa mikutano wa Bunge wa Pius Msekwa leo wakati walipomtembelea ofisini kwake mjini Dodoma  kwa lengo la  kuwasilisha Azimio la wito wa kuomba Bunge Maalum la Katiba  kukamilisha jukumu la kuandaa rasimu yenye kuzingatia haki ardhi kwa mahitaji ya wakulima  Tanzania.

 Kaimu Mwenyekiti wa kutoka Chama cha Wakulima Wadodowadogo wa zao la Pamba Tanzania(TACOGA), Godfrey  Mokiri(katikati) akizungumza  na Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta(kulia)  katika ukumbi wa mikutano wa Bunge wa Pius Msekwa leo wakati  baadhi  viongozi na wajumbe wa chama hicho  walipomtembelea ofisini kwake mjini Dodoma  kwa lengo la  kuwasilisha Azimio la wito wa kuomba Bunge Maalum la Katiba  kukamilisha jukumu la kuandaa rasimu yenye kuzingatia haki ardhi kwa ardhi kwa mahitaji ya wakulima  Tanzania.Kushoto ni Katibu wa chama hicho, George Mpanduji.

Baadhi  viongozi na wajumbe wa  Chama cha Wakulima Wadodowadogo wa zao la Pamba Tanzania(TACOGA) wakiwa katika picha ya pamoja  na Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta (wanne kushoto) na Katibu wa Bunge hilo, Yahaya Khamis Hamad (wa tatu kulia )walipomtembelea ofisini kwake mjini Dodoma leo kwa lengo la  kuwasilisha Azimio la wito wa kuomba Bunge Maalum la Katiba  kukamilisha jukumu la kuandaa rasimu yenye kuzingatia haki ardhi kwa mahitaji ya wakulima  Tanzania.

Related

STAR WA TANZANIA MOVIE TALENTS (TMT) 2014, MWANAAFA MWINZAGO AWA KIVUTIO MITAA YA KARIAKOO

 Mshindi wa Tanzania Movie Talents (TMT) 2014 Mwanaafa Mwinzago (Katikati) akisindikizwa na Matron pamoja na Mfanyakazi wa TMT huku akilindwa na Mabaunsa wakati alipopelekwa Katika Mitaa ya K...

RAIS KIKWETE ATEMBELEA WILAYA YA CHAMWINO KATIKA ZIARA YAKE YA MKOA WA DODOMA

  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Mkuu wa Wilaya ya Chamwino Mhe. Fatma S. Ally alipowasili wilayani humo kukagua miradi ya maendeleo na kuzungumza na wananchi   Rai...

MIYEYUSHO KUZIPIGA NA NORFAT OKTOBA 5 MKWAKWANI TANGA

Bondia Francis Miyeyusho kushoto akitunishiana misuli na Emilio Norfat baada ya kusaini mkataba wa kuzipiga Oktoba 5 katika uwanja wa Mkwakwani Tanga mpambano wa raundi nane  katikat...

Post a Comment

emo-but-icon
:noprob:
:smile:
:shy:
:trope:
:sneered:
:happy:
:escort:
:rapt:
:love:
:heart:
:angry:
:hate:
:sad:
:sigh:
:disappointed:
:cry:
:fear:
:surprise:
:unbelieve:
:shit:
:like:
:dislike:
:clap:
:cuff:
:fist:
:ok:
:file:
:link:
:place:
:contact:


LISTEN / DOWNLOAD MUSIC HERE:

Total Pageviews

904758
item