NAIBU WAZIRI MPYA WA ELIMU ALIPOWASILI KAZINI RASMI JANA KUANZA KAZI, TAZAMA PICHA

  Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Jenista Mhagama alipowasili wizarani jana asubuhi na kulakiwa kwa shangwe na wafanyakazi ...

 Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Jenista Mhagama alipowasili wizarani jana asubuhi na kulakiwa kwa shangwe na wafanyakazi wa wizara hiyo.
 Mheshimiwa Jenista Mhagama, Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi akipokea kadi ya pongezi kutoka kwa Kamishna wa Elimu, Profesa Eustella Bhalalusesa na (katikati) anayeshuhudia ni Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Profesa Sifuni Mchome.
Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Jenista Mhagama akikaribishwa ofisini kwake na Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Profesa Sifuni Mchome.

Related

JIPOZISHE 1956678832785819279

Post a Comment

emo-but-icon

FOLLOW US

.

LISTEN / DOWNLOAD MUSIC HERE:

Total Pageviews

RECENT

Archive

item