GARI LAUA WANAFUNZI MTWARA

Gari ndogo imevamia mchakamchaka wa wa wanafunzi wa shule ya masingi Sabodo, Mtwara alfajiri ya leo nakuua  wanafunzi wanne (4). Wanafun...


Gari ndogo imevamia mchakamchaka wa wa wanafunzi wa shule ya masingi Sabodo, Mtwara alfajiri ya leo nakuua  wanafunzi wanne (4). Wanafunzi 21 wapo hoi hospitalini na wengine 26 wameruhusiwa, polisi imethibitisha kutokea kwa tukio hilo.

Related

ELIMU 6800144485546297763

Post a Comment

emo-but-icon

FOLLOW US

.

LISTEN / DOWNLOAD MUSIC HERE:

Total Pageviews

RECENT

Archive

item