RAIS WA MPITO WA JAMHURI YA KATI AJIUZURU

MICHEL DJOTODIA Rais wa mpito wa Jamuhuri ya Afrika ya Kati, Michel Djotodia, amejiuzulu kufuatia shinikizo kali na kukosolew...

MICHEL DJOTODIA


Rais wa mpito wa Jamuhuri ya Afrika ya Kati, Michel Djotodia, amejiuzulu kufuatia shinikizo kali na kukosolewa kwa mwendo wake wa kujikokota katika kusuluhisha mgogoro wa kidini unaotokota nchini humo.

Mapigano ya kidini yaliyofanyika nchini humo karibu wiki mbili na kusababisha mauaji ya watu 1000 na kuacha watu wapatao milioni 1 bila makazi nayo yamekuwa sababu ya rais huyo kujiuzuru.

Hadi sasa hakuna aliyejitokeza kushika nafasi hiyo aliyoiacha Djotodia, lakini bunge la nchi hiyo litakutana jumatatu ili kumteua mrithi wake.

Related

BAADHI YA PICHA ZA MAZISHI YA MAREHEMU NEMELA PHILLIP MANGULA

Mwakilishi wa Mheshimiwa Rais katika mazishi ya Nemela  Mangula  Mh. Anne Makinda akiwa ameongozana na Mh. Wassira na viongozi wengine wakipitia wosifu wa marehemu pamoja na ratiba za ...

AJALI MBIO ZA MWENGE DODOMA

Habari zilizotufikia hivi punde zinasema, watu 3 wamejeruhiwa baada ya magari yaliyokuwa katika msafara wa mbio za mwenge kupata ajaliwilayani Chamwino mkoani Dodoma leo.Hakuna vifo vilivyoripotiwa h...

Post a Comment

emo-but-icon
:noprob:
:smile:
:shy:
:trope:
:sneered:
:happy:
:escort:
:rapt:
:love:
:heart:
:angry:
:hate:
:sad:
:sigh:
:disappointed:
:cry:
:fear:
:surprise:
:unbelieve:
:shit:
:like:
:dislike:
:clap:
:cuff:
:fist:
:ok:
:file:
:link:
:place:
:contact:


LISTEN / DOWNLOAD MUSIC HERE:

Total Pageviews

904759
item