DKT. SHEIN AKUTANA NA MAKAMU WA RAIS WA INDIA MOHAMMED HAMID ANSARI

  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed  Shein akifuatana na Balozi wa Tanzania Nchini India John W.H.K...

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed  Shein akifuatana na Balozi wa Tanzania Nchini India John W.H.Kijazi walipofika katika Makumbusho ya Mahatma Ghandhi Mjini New Delhi India na kuweka shada la mauwa katika makumbusho hayo,akifuatana na ujumbe wake katika ziara ya siku tatu nchini humo
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed  Shein akifuatana na Ujumbe wake wakielekea katika sehemu maalum iliyotengwa kwa shuhuli ya uwekaji wa mauwa kwa wageni mbali mbali wanaofika sehemu hiyo ya Makumbusho ya Mahatma Ghandhi Mjini New Delhi India
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed  Shein na Mkwe Mama Mwanamwema Shein wakiweka shada la mauwa  katika   Makumbusho ya Mahatma Ghandhi Mjini New Delhi, ambayo ni sehemu maalum iliyotayarishwa kwa  wageni mbali mbali wanaofika katika Makumbusho hayo,Rais akiwa katika siku ya tatu ya ziara yake Nchini India

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed  Shein akiweka saini kitabu cha kumbukumbu ya wageni katika makumbusho ya Mahatma Gandhi katika Mji wa New Delhi India   baada ya  kuweka shada la mauwa (katikati)Mkewe Mama Mwanamwema Shein pamoja Balozi wa Tanzania Nchini India John W.H.Kijazi (kushoto)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed  Shein akizungumza na mwenyeji wake  Makamo wa Rais wa India Mohammed Hamid Ansari, mara alipowasili  Ofisini kwake Mjini New Delhi,akiwa na ujumbe aliofuatana nao wakiwemo Mwaziri mbali mbali na makatibu. 
 
Picha na Ramadhan Othman, India.

Related

GRACE MVANDA KUWANIA UBUNGE JIMBO LA KALENGA IRINGA

KAMATI Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimempitisha Grace Tendeya Mvanda, kuwa mgombea wake katika kinyang’anyiro cha ubunge katika jimbo la Kalenga, mkoani Iringa. Grace M...

VIBER MESSAGING APP BOUGHT BY JAPAN'S RAKUTEN

Messaging app Viber has been bought by Rakuten, the owner of online retailer Play.com. The Japanese company will pay $900m (£540m) for the mobile application, which offers free calls and text ...

CAR BOMB BLAST KILLS 6 IN SOMALIA

 Somali soldiers`walk near the car wreckage of a suicide bomber in Mogadishu, Somali , Thursday Feb,1 3 2014, Somali police say the car bomb exploded near the gate of Mogadishu airport Thurs...


LISTEN / DOWNLOAD MUSIC HERE:

Total Pageviews

904758
item