LIBYA WATWAA KOMBE LA CHAN

Fainali za CHAN zimemalizika usiku wa kuamkia leo huku timu ya Libya ikiondoka na ushindi zidi ya timu kutoka Ghana. Mechi hiyo iliyoma...

Fainali za CHAN zimemalizika usiku wa kuamkia leo huku timu ya Libya ikiondoka na ushindi zidi ya timu kutoka Ghana.

Mechi hiyo iliyomalizika katika dakika 90 za mchezo bila timu yoyote kuona lango la mwenzake kupelekea kuongezwa dakika 30 ambazo nazo ziliisha bila timu yoyote kuonyesha ubabe.

Libya ilipata ubingwa kwa kuifunga Ghana kwa penalti 4 - 3, mabingwa hao wapya 2014 wameondoka na kitita cha dola za kimarekani 750,000.

Wakati huohuo Nigeria iliweza kuifunga Zimbabwe bao 1 - 0 katika mchezo wa kusaka mshindi wa 3 wa michuano ya Afrika kwa wachezaji wa ndani.

Related

OTHER NEWS 3848509543675580009

FOLLOW US

.

LISTEN / DOWNLOAD MUSIC HERE:

Total Pageviews

RECENT

Archive

item