MGOMO WA MASHINE ZA EFD WASITISHWA

Wafanyabiashara katika mikoa mbalimbali leo wamefungua maduka yao ikiwemo kariakoo, Tanga na Kahama. Hii imekuja baada ya kufanyika kikao...

Wafanyabiashara katika mikoa mbalimbali leo wamefungua maduka yao ikiwemo kariakoo, Tanga na Kahama. Hii imekuja baada ya kufanyika kikao baina ya wafanyabiashara na Waziri Mkuu jana. Matokeo ya kikao hicho ni uamuzi wa kuundwa kamati itakayo tatua kero hizo. Notisi iliyokuwa imetolewa kwa wafanyabiashara kumiliki mashine hizo za EFD ndani ya wiki mbili imetenguliwa.

Related

WABUNGE WANUNULIWA IPADS

Kumezuka malalamiko nchini Uganda baada ya wabunge kununuliwa tabiti au (iPads) kwa pesa za Umma. Afisaa mkuu wa Bunge amesema kuwa tabiti hizo zitawafanya wabunge kuwa makini wakati wa vikao vya...

MANDELA AFARIKI DUNIA

RAIS wa kwanza wa Afrika Kusini na mpinga siasa za ubaguzi wa rangi, Nelson Mandela amefariki nchini humo akiwa na umri wa miaka 95. Taarifa za kifo chake zim...

DKT. ASHA ROSE MIGIRO ATEULIWA KUWA MBUNGE NA RAIS KIKWETE, APONGEZWA KWA UTEUZI HUO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Dr. Asha-Rose Migiro kuwa Mbunge.Taarifa iliyotolewa Ikulu, Dar es Salaam leo, Jumanne, Desemba 3, 2013, na ...


LISTEN / DOWNLOAD MUSIC HERE:

Total Pageviews

904769
item