PANDU AMEIR KIFICHO AUNDA TIMU KUJADILI ONGEZEKO LA POSHO KWA WABUNGE WA BUNGE LA KATIBA

 Pandu Ameir kificho Mwenyekiti wa muda wa bunge la katiba, Pandu Ameir Kificho ameunda timu ya watu sita kujadili nyongeza ya posho...

 Pandu Ameir kificho

Mwenyekiti wa muda wa bunge la katiba, Pandu Ameir Kificho ameunda timu ya watu sita kujadili nyongeza ya posho kwa wabunge wa bunge la katiba. mapendekezo yote yatakawasilishwa serikalini ili kutolewa maamuzi.

Wakati huo huo Katibu Mkuu wa  CHADEMA, Dkt. Slaa amesema kuwa posho ya sh 300,000/= kwa wajumbe wa katiba zinatosha na kuwataka wabunge wa Chadema kujikita kwenye kujadili katiba.

Related

OTHER NEWS 5135674109212258392

Post a Comment

emo-but-icon

FOLLOW US

.

LISTEN / DOWNLOAD MUSIC HERE:

Total Pageviews

RECENT

Archive

item