TASWIRA MBALIMBALI KWENYE IBADA YA KUUGA MWILI WA ALIYEKUWA MKUU WA MKOA WA MARA MAREHEMU JOHN GABRIEL TUPA.

  MWILI WA ALIYEKUWA MKUU WA MKOA WA MARA JOHN GABRIEL TUPA UKITOLEWA  NDANI YA MAKAZI YAKE   WAOMBOLEZAJI WAKIWA NYUMBANI K...

  MWILI WA ALIYEKUWA MKUU WA MKOA WA MARA JOHN GABRIEL TUPA UKITOLEWA  NDANI YA MAKAZI YAKE


  WAOMBOLEZAJI WAKIWA NYUMBANI KWA ALIYEKUWA MKUU WA MKOA


 KUTOKA KUSHOTO KAIMU KAMANDA WA POLISI MKOA WA MARA POUL KASABAGO,M NEC WA CCM CHRISTOPHER GACHUMA,M NEC WA BUNDA CCM...

  MWENYEKITI WA BAKWATA MUSOMA MJINI AKIWA NA ASKOFU MSONGANZILA WA KANISA KATORIKI
  RAIS WA KLABU ZA WAANDISHI WA HABARI TANZANIA KENETH SIMBEYA AKITOA SALAMU ZA RAMBIRAMBI
  MTOTO WA MAREHEMU  GABRIEL JOHN TUPA AKITOA SHUKURANI
  MJANE WA BABA WA TAIFA MWALIMU NYERERE ALIKUWA MMOJA WA WAOMBOLEZAJI
  ASKOFU MSONGANZILA AKIWEKA SAHIHI KWENYE KITABU CHA WAOMBOLEZAJI


  SEHEMU YA WAOMBOLEZAJI WAKIENDA KUAGA MWILI

  MKURUGENZI WA KLABU ZA WAANDISHI WA HABARI TANZANIA ABUBAKAR KARSAN MWENYE MIWANI HUKU NYUMA YAKE NI MADARAKA NYERERE NAO WAKIAGA MWILI


  WANAFUNZI WA SHULE PIA WALIHUDHULIA

 ASKARI KARIM AKIWA KWENYE GARI LILILOBEBA MWILI WA MAREHEMU
 MWILI WA ALIYEKUWA MKUU WA MKOA WA MARA LIKIWA KWENYE GARI MAALUMU UKITOKA KWENYE MAKAZI YAKE KWENDA KANISANI
  MWILI UMEPOKELEWA LANGO KUU LA KANISA KATORIKI
 MKE WA JOHN TUPA WA PILI KUTOKA KUSHOTO AKIWA NA WANAFAMILIA KANISANI

Related

OTHER NEWS 9189612508917079618

Post a Comment

emo-but-icon

FOLLOW US

.

LISTEN / DOWNLOAD MUSIC HERE:

Total Pageviews

RECENT

Archive

item