MOTO ULIVYOTEKETEZA SHOWROOM YA MAGARI

  Magari yakiwa yameteketea kwa moto.   Hapa moto ulikuwa ndiyo umeanza kuwaka kabla ya kuanza kuunguza magari. Picha na F...

 Magari yakiwa yameteketea kwa moto.

 Hapa moto ulikuwa ndiyo umeanza kuwaka kabla ya kuanza kuunguza magari.

Picha na Father Kidevu Blog

 Dar es salaam
Duka la Magari (showroom) iliyokuwa karibu na eneo la Mlimani City barabara ya Samnujoma jijini Dar es Salaam imeteketea kwa moto na kusababisha hasara ambayo bado haijafahamika, ambapo mpaka sasa chanzo cha moto huo hakijafahamika.

Related

OTHER NEWS 7861749310166755242

Post a Comment

emo-but-icon

FOLLOW US

.

LISTEN / DOWNLOAD MUSIC HERE:

Total Pageviews

RECENT

Archive

item