TASWIRA MBALIMBALI KATIKA TAMASHA LA PASAKA LILILOFANYIKA UWANJA WA TAIFA
Mgeni rasmi Waziri wa Mambo ya nje na Ushirikiano wa kimataifa Mh. Bernald Membe aliyemuakilisha Rais Jakaya Kikwete katika Tamasha ...
https://gabriellabridalsolution.blogspot.com/2014/04/taswira-mbalimbali-katika-tamasha-la.html
Mgeni rasmi
Waziri wa Mambo ya nje na Ushirikiano wa kimataifa Mh. Bernald Membe
aliyemuakilisha Rais Jakaya Kikwete katika Tamasha la Pasaka
lililofanyika jana kwenye uwanja wa Taifa akizungumza na mashabiki
mbalimbali waliojitokeza katika tamasha hilo na kuwaomba kuwa watulivu
wakati huu wa mchakato wa katiba mpya akisema uamuzi mtautoa nyini ni
serikali gani mnaiihitaji iwe moja, Tatu au Mbili nyinyi ndiyo mtaamua
na sisi tutakipitisha kile mlichokiamua, Kulia ni Mkurugenzi wa Kampuni
ya Msama Promotion Bw. Alex Msama na katikati ni Naibu Waziri wa Sheria
na Katiba Mh. Angela Kairuki.
Mwanamuiki wa
muziki wa injili kutoka nchini Afrika Kusini Keke Letse Phoofolo
akicheza na mashabiki wake wakati alipokuwa akifanya vitu vyake kwenye
uwanja wa Taifa jana.
Mwimbaji wa muziki wa injili kutoka nchini Zambia Ephraim Sekereti akiimba jukwaani jana.
Mwanamuiki wa muziki wa injili kutoka nchini Afrika Kusini Keke Letse
Phoofolo akicheza na kwa mbwembwe wakati alipokuwa akifanya vitu
vyake kwenye uwanja wa Taifa jana.
Mgeni rasmi
Waziri wa Mambo ya nje na Ushirikiano wa kimataifa Mh. Bernald Membe
aliyemuwakilisha Rais Jakaya Kikwete akiongozwa kuelekea jukwaani na
Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion Bw. Alex Msama
Mwimbaji
wa ijini kutoka nchini Uingereza Dayo Bello akiimba na mkewe Ruth Tobi
wakati wa tamasha la pakasa kwenye uwanja wa Taifa jana.
Mwimbaji Jesca Honore akiimba kwenye tamasha hilo
Mchungaji mtarajiwa Masanja Mkandamizaji akifanya vitu vyake jukwaani
Umati uliojitokeza katika tamasha hilo.
Upendo Kilahiro akiimba jukwaani na kundi la Victoria Singers.
Mashabiki mbalimbali wakimshuhudia mwanamuziki Kekeletse Phoofolo hayupo ichani wakati alipokuwa akifanya vitu vyake jukwaani.
Mwanamuiki wa muziki wa injili kutoka nchini Afrika Kusini Keke Letse
Phoofolo kazi moja tu burudani
Ikafika zamu ya Upendo Nkone
Rose Muhando na kundi lake wakipagawisha kwenye tamasha la Pasaka jana katika uwanja wa Taifa.