MAJINA YA WALIOMALIZA FORM SIX MWAKA 2014 WANAOTAKIWA KWENDA KURIPOTI JESHINI KWA MAFUNZO HAYA HAPA

  UTARATIBU WA KUJIUNGA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA VIJANA WA MUJIBU WA SHERIA WANAOMALIZA KIDATO CHA SITA MEI 2014. AWAMU YA KWANZ...

 

UTARATIBU WA KUJIUNGA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA VIJANA WA MUJIBU WA SHERIA WANAOMALIZA KIDATO CHA SITA MEI 2014.


  • AWAMU YA KWANZA; VIJANA 20,000 WATARIPOTI KWENYE MAKAMBI YA MAFUNZO YA JKT KUANZIA TAREHE 01 JUNI 2014 NA KUANZA RASMI MAFUNZO YAO TAREHE 08 JUNI 2014 NA KUMALIZA TAREHE 04 SEPTEMBA 2014. ORODHA YAO ITAANZA KUONEKANA KWENYE WEBSITE YA JKT TAREHE 11 MEI 2014 KUANZIA SAA NNE (4) ASUBUHI.

  • AWAMU YA PILI; VIJANA 14450 WATARIPOTI KWENYE MAKAMBI YA MAFUNZO YA JKT KUANZIA TAREHE 11 SEPTEMBA 2014 NA KUANZA RASMI MAFUNZO TAREHE 18 SEPTEMBA 2014 NA KUMALIZA TAREHE 17 DESEMBA 2014. ORODHA YAO ITAANZA KUONEKANA KWENYE WEBSITE YA JKT TAREHE 15 MEI 2014 KUANZIA SAA KUMI (10) JIONI.

  • KIJANA YEYOTE MWENYE ULEMAVU UNAOONEKANA ARIPOTI KATIKA KAMBI YA MAFUNZO YA RUVU JKT (832 KIKOSI CHA JESHI).

  • VIJANA WOTE WANATAKIWA KUWA NA VYETI VYA KUMALIZA KIDATO CHA SITA ( LEAVING CERTIFICATE).

  • INASISITIZWA VIJANA WARIPOTI KWENYE MAKAMBI WALIOPANGIWA NA SIO KUJA MAKAO MAKUU YA JKT.

MAJINA YA VIJANA KIDATO CHA SITA 2014 MUJIBU WA SHERIA AWAMU YA KWANZA NA VIKOSI WALIVYOPANGIWA



IMETOLEWA NA MKUU WA JESHI LA KUJENGA TAIFA. KWA MAELEZO ZAIDI TEMBELEA TOVUTI YAO HAPA 



Related

MBOWE AFICHUA MAZITO YA MLIPUKO WA BOMU LA ARUSHA

ASEMA SMG, BASTOLA ZILITUMIKA ARUSHAMWENYEKITI wa CHADEMA Freeman Mbowe, amevituhumu vyombo vya dola kuwa vinawafahamu watu walioshiriki kwenye mlipuko wa bomu uliotokea juzi katika viwanja vya Sow...

KONGAMANO LA UIMBAJI KWA VIJANA KUTOKA MAJIMBO MBALIMBALI YA KKKT DAR ES SALAAM LILIOFANYIKA TAREHE 15/06/2013 USHARIKA KWA KIJITONYAMA

Kongamano hili lilijumuisha kwaya 18 ambazo ni: KIPUNGUNI B KIBANGU CHARAMBE KIMANGA  YOMBO DOVYA MBEZI BEACH KEKO YOMBO VITUKA WAZO HILL MWENGE MAVURUNZA MTAA WA NEEMA MAGOMENI ...

UTOAJI WA TUZO ZA BONGO MOVIE 2012-2013 KATIKA PICHA

WAZIRI WA SAYANSI NA TEKNOLOJIA MAKAME MBAWALA AKIFUNGUA TUZO HIZO JACOB STEEVEN, JB - MSANII BORA WA KIUME MZEE MAJUTO - MSANII BORA WA UCHEKESHAJI STEVE NYERERE ...

Post a Comment

emo-but-icon
:noprob:
:smile:
:shy:
:trope:
:sneered:
:happy:
:escort:
:rapt:
:love:
:heart:
:angry:
:hate:
:sad:
:sigh:
:disappointed:
:cry:
:fear:
:surprise:
:unbelieve:
:shit:
:like:
:dislike:
:clap:
:cuff:
:fist:
:ok:
:file:
:link:
:place:
:contact:


LISTEN / DOWNLOAD MUSIC HERE:

Total Pageviews

904743
item