RAIS KIKWETE AONGOZA MAADHIMISHO SIKU YA WAUGUZI KITAIFA MKOANI ARUSHA LEO
Wanafunzi wa Uuguzi Karatu mkoa wa Arusha Wanafunzi wakitoa burudani Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Viongozi wa dini...
https://gabriellabridalsolution.blogspot.com/2014/05/rais-kikwete-aongoza-maadhimisho-siku.html
Wanafunzi wa Uuguzi Karatu mkoa wa Arusha
Wanafunzi wakitoa burudani
Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Viongozi wa dini baada ya kuwasili uwanja wa Sheikh Amri Abeid
Rais Jakaya Kikwete akiwa na Mkurugenzi wa World Education Inc(WEI)Lilian Badi wakati akitembelea mabanda ya maonesho
Maandamano ya wauguzi
Picha na Rweyemamu info