MSANII WA FILAMU TANZANIA RACHEL HAULE AFARIKI DUNIA

Rachel Haule enzi za uhai wake  Msanii Rachel Haule 'Recho' amefariki dunia asubuhi hii (usiku wa kuamkia leo) Muhimbi...

Rachel Haule enzi za uhai wake 
Msanii Rachel Haule 'Recho' amefariki dunia asubuhi hii (usiku wa kuamkia leo) Muhimbili Hospitali baada ya kujifungua kwa upasuaji. mara baada ya kujifungua mtoto alifariki na yeye hali yake kuwa mbaya, ilibidi ahamishiwe ICU ambako hali ilizidi kuwa mbaya na baadae kufariki dunia. Bongo Movie yathibitisha. Taarifa zaidi zitafuata.


Bwana alitoa na Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe



Related

OTHER NEWS 8472363184396711723

Post a Comment

emo-but-icon

FOLLOW US

.

LISTEN / DOWNLOAD MUSIC HERE:

Total Pageviews

RECENT

Archive

item