TAARIFA YA JESHI LA POLISI BOMU LILOLIPUKA MWANZA

Usiku wa May 5 2014 yani jana saa mbili na dakika 20 umetokea mlipuko mwingine ndani ya kanisa la KKKT Makongoro wilayani Ilemela Mw...



Usiku wa May 5 2014 yani jana saa mbili na dakika 20 umetokea mlipuko mwingine ndani ya kanisa la KKKT Makongoro wilayani Ilemela Mwanza  ambao umethibitishwa na Polisi.olisi imethibitisha kwamba uchunguzi wa awali umeonyesha bomu hilo ni la kienyeji na baada ya kulipuka limemuathiri mtu mmoja aitwae Bernadetha Alfred kabila Mnyaturu mwenye umri wa miaka 25 ambae kwa sasa anatibiwa kwenye hospitali ya Bugando.
Jeshi la polisi pamoja na vyombo vingine vya usalama bado wanaendelea kuchunguza hili tukio aliyehusika na shambulio hili pia bado hajajulikana.
Picha na Global Publishers

Related

OTHER NEWS 6740587781284252426

Post a Comment

emo-but-icon

FOLLOW US

.

LISTEN / DOWNLOAD MUSIC HERE:

Total Pageviews

RECENT

Archive

item