ZIFAHAMU SARAFU ZILIZOTUMIKA ZANZIBAR KABLA YA MUUNGANO 1964

 Sarafu rasmi ya Zanzibar (Zanzibar rupee) ilitumika kati ya mwaka 1908- 1935. Sarafu ya Afrika Mashariki ilianza kutumika mwaka 1936 h...

 Sarafu rasmi ya Zanzibar (Zanzibar rupee) ilitumika kati ya mwaka 1908- 1935. Sarafu ya Afrika Mashariki ilianza kutumika mwaka 1936 hadi mwaka 1969. Lakini baada ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar 1964, Tanzania ikaanzisha safaru yake iliyochukuwa nafasi ya sarafu ya Afrika Mashariki kuanzia mwaka 1969. Vijana wa sasa mnalifahamu hilo

Baada ya 1884, Zanzibar ilitumia sarafu za aina tatu kwa mpigo. Sarafu ya kwanza ilijulikana kama Maria Theresa Thaler iliyotolewa Italy, ilikuwa na sura ifuatayo

 Noti hii ya rupee 1 ya Zanzibar ilianzishwa na kutumika mwaka 1920
Noti ya rupia 5 iliyotumika Zanzibar mwaka  1905.

Related

TUJUZANE 8602838755358517856

Post a Comment

emo-but-icon

FOLLOW US

.

LISTEN / DOWNLOAD MUSIC HERE:

Total Pageviews

RECENT

Archive

item