NEWS ALERT: KITU KINACHOSADIKIWA NI BOMU CHALIPUKA ARUSHA‏ JIRANI NA MAHAKAMA KUU

Watu 7 wamejeruhiwa na 1 yuko mahututi baada ya watu wasiofahamika kurusha bomu karibu na Mahakama Kuu, Arusha  katika mgahawa wa Wa...



Watu 7 wamejeruhiwa na 1 yuko mahututi baada ya watu wasiofahamika kurusha bomu karibu na Mahakama Kuu, Arusha  katika mgahawa wa Wama ulioko Gymkhana jijini Arusha(Pichani chini). Tukio hilo la kusikitisha limetokea usiku wa kuamkia leo, majeruhi wote wamepelekwa katika hospitali ya Seliani jijini Arusha.

Related

OTHER NEWS 8651712712421359837

Post a Comment

emo-but-icon

FOLLOW US

.

LISTEN / DOWNLOAD MUSIC HERE:

Total Pageviews

RECENT

Archive

item