MTU MMOJA AFARIKI KWENYE AJALI ILIYOTOKEA MOSHI BAADA YA PIKIPIKI KUGONGANA NA LORI

  Pikipiki aina ya Suzuki ikiwa imenasa mbele ya Lori baada ya kugongana uso kwa uso . Ajali imetokea barabara kuu ya Arusha Moshi ik...

 Pikipiki aina ya Suzuki ikiwa imenasa mbele ya Lori baada ya kugongana uso kwa uso .Ajali imetokea barabara kuu ya Arusha Moshi ikihusisha Lori aina ya Sacania lenye namba za Usajili T 137 ATA na pikipiki aina ya Suzuki yenye namba SU 40262 mali ya Mamlaka ya Maji safi na usafi wa Mazingira mjini Moshi(MUWSA).

  Baada ya ajali hiyo pikipiki ilibaki ikiwa imesimama baada ya kunasa chini ya Lori la mafuta.
Mashuhuda wa ajali hiyo waliuambia mtandao huu  kuwa ilitokea majira ya saa 7 katika makutano ya barabara ya Arusha/Moshi na ile itokayo chuo cha polisi Moshi kuelekea ofisi za mkuu wa wilaya ya Moshi.


Askari wa kikosi cha usalama barabarani wakiwa katika eneo la tukio kwa ajili ya kufanya vipimo.Na Dixon Busagaga

Related

MAALIM SEIF AHUDHURIA MKUTANO WA KIMATAIFA WA UCHUMI

 Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif, akisalimiana na Kiongozi wa Istambuli wakati akiwasili katika ukumbi wa mkutano. wa Kimataifa wa Uchumi unaofanyika nchini huo. &n...

UFAHAMU UGONJWA WA UTI NA ATHARI ZAKE KWA BINADAMU

Maambukizi Katika Njia ya Mkojo (UTI) ni moja kati ya magonjwa ambayo hayapewi msisitizo wa kutosha katika jamii licha ya kuwa wengi huathirika kwa ugonjwa huu bila kujua chanzo, tiba na kinga ya...

ASKOFU WA KATOLIKI AELEZA NJIA MPYA KUZUIA KATIBA

Makamu wa Rais Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC), Askofu Severin Niwemugizi. MAKAMU wa Rais Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC), Askofu Severin Niwemugizi, amesema maoni yaliyotolewa na Jukw...

Post a Comment

emo-but-icon
:noprob:
:smile:
:shy:
:trope:
:sneered:
:happy:
:escort:
:rapt:
:love:
:heart:
:angry:
:hate:
:sad:
:sigh:
:disappointed:
:cry:
:fear:
:surprise:
:unbelieve:
:shit:
:like:
:dislike:
:clap:
:cuff:
:fist:
:ok:
:file:
:link:
:place:
:contact:


LISTEN / DOWNLOAD MUSIC HERE:

Total Pageviews

904746
item